Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

PFA Premier League Fans' Player of the Year. 🔥
20230905_182241.jpg
 
Nilikaa na huyo jamaa akasema Hawa jamaa wanapiga Sana msako hata hatupumui,na hapo anaingia magwaya ,kelele za kutosha

Nikamwambia twende nje ,kidogo hatujatulia nasikia kelele,nikajua magwaya kafanya yake
Namfurahiaje mjomba Magwaya, yaani confo zero ila kwa Southgate humwambii kitu. Sijui ni shemejiye au mwanaupinde mwenzie?
 
Hii Timu tulipokuwa tunawaambia Ferguson alikuwa akibebwa na Marefa makakazenu walitupinga! Ona sasa tokea astaafu Ferguson na Howard Webb imekuwa ni Mateso na maumivu makali kwenu.View attachment 2738806View attachment 2738807

Allegation za kipumbavu sana. Ferguson hakubebwa na marefu. He was elite coach, kuwachukua manu ilipukuwa ina sua sua, uwezo wa kubadili wachezaj wasio hawakuwa na jina mpaka wakajulukana
Kwa record yake huwe ipata eti kwa kubebwa hakuna kitu kama hiko
 
Man united imetoa orodha ya wachezaji wake kwa ajili ya CL
Screenshot_20230905-192412.jpg

Hao waliotajwa kama club and association ni nini hiyo wajuzi tujuzeni
 
According to braza GUGO.

A club trained player is a player who was on the Club's register for any 3 full Seasons before the end of the Season in which he ceases to be eligible by age to play at Under 21 level.
 
Mbinu ilikuwa kutompress onana

Manjesta wakapiga pass 200 eneo lao la Backline

Kwa Takwimu hizi wanasema walikuwa vzr
Tungeamua sisi kucheza kwenye eneo la backline yetu kwa dk 10 tu tungepata goli ndani ya hizo dakika. Hii ni kwa sababu Onana angetoka na kuingia midfield, na sisi tungempiga chop kwa mbali.
 
Majirani, nina swali.
Je kuna 'mutiny' pale United? Ok, mutiny ni strong sana. Yaani je kuna mvutano kati ya manager na baadhi ya wachezaji na kocha? Ukiacha Sancho, nani mwingine anavutana na kocha nyuma ya pazia?
Napendaa kuangalia posts za Mark Goldbridge YouTube. Ni bonge la ManUtd fan na he seems to think something is up, mpaka katumia neno 'mutiny'.
 
Allegation za kipumbavu sana. Ferguson hakubebwa na marefu. He was elite coach, kuwachukua manu ilipukuwa ina sua sua, uwezo wa kubadili wachezaj wasio hawakuwa na jina mpaka wakajulukana
Kwa record yake huwe ipata eti kwa kubebwa hakuna kitu kama hiko
Ilifikia kipindi FA na marefa wakawa wanamuona SAF kama boss wao.
 
Majirani, nina swali.
Je kuna 'mutiny' pale United? Ok, mutiny ni strong sana. Yaani je kuna mvutano kati ya manager na baadhi ya wachezaji na kocha? Ukiacha Sancho, nani mwingine anavutana na kocha nyuma ya pazia?
Napendaa kuangalia posts za Mark Goldbridge YouTube. Ni bonge la ManUtd fan na he seems to think something is up, mpaka katumia neno 'mutiny'.
Kumbe unanifatiliiaga huyo jamaa
 
Back
Top Bottom