Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Sancho kafunguka huko kasema 7hag Ni muongo, siokweli hajitumi mazoezini Kuna issue nyingine kabisa

Huyu 7hag ameshindwa kukuza kipaji hiki anamsingizia uongo kwenye media
Screenshot_20230903-223439_1.jpg
 
Sancho:

7hag Ni muongo na tapeli ,siokweli kwamba sijitumi mazoezini
Screenshot_20230903-223439_1.jpg
 
Kuna Vita ya maneno

Jordan Sancho Vs Erik 7 hag a Dutch David Moyes

Anamsingizia Sancho hajitumi mazoezini
 
Martinell alivyocheza ndivyo winger anatakiwa kucheza sasa sisi tunasema Antony anakaba sana hahah haya.
Timu yetu imeisha aisee. Kuna watu wanasifia kabisa upuuzi unaoendelea.

Antony ni fala mmoja tu, leo kabahatisha moves kadhaa naona sifa zimeanza. Wan-Bissaka naye hastahili kucheza United, ndiyo ame-improve ila kwa timu inayotaka makombe huwezi kuwategemea Bissaka na Dalot.

Tuna wachezaji wengi wa kawaida sana, inapotokea mchezaji kafanya vizuri kidogo tu sifa zinaanza. Namba kubwa ya wachezaji wa kawaida inafanya hata wale bora wasionekane.
 
Nimependa Sana Sancho kamchana live Kama alivyofanya Cr7

| Ten Hag: “Jadon Sancho out? Based on performance on training we didn't select him”

Sancho’s response: “I have been a scapegoat for a long time which isn’t fair!”

Nitakuwa mtu wa mwisho kuamini Sancho anafeli sababu ya uwezo

But Sancho anafeli sababu ya uwezo mdogo wa kocha aliyenae

Sancho ni talent iliyokosa mtu sahihi wa kuiendeleza

Sancho alishafanya makubwa anahitaji kocha sahihi wakumdevelop
20230903_225119.jpg
 
Nitakuwa mtu wa mwisho kuamini Sancho anafeli sababu ya uwezo

But Sancho anafeli sababu ya uwezo mdogo wa kocha aliyenae

Sancho ni talent iliyokosa mtu sahihi wa kuiendeleza

Sancho alishafanya makubwa anahitaji kocha sahihi wakumdevelopView attachment 2738021
Jaribu, kukua na kujiheshimu sawa, kwanza wew ni mshabiki wa arsenal, mda wote humo humu kupost utumbo tu na kupitia comment zako huna unachokijua kuhusu mpira. Huyu 10hag sio kocha mbaya kama unavyozania wew tatizo kubwa la man united linaanzia kwa wamiliki glazers.

Kama unahoja nzuri za uchambuzi Leta hapa hakuna anayepinga hilo.lakini sio kila uchao unatuletea mipasho ya kike.
 
Leo kidogo nimeangalia mpira wa kueleweka.

Ila Antony anatuchelewesha sana. Hapo tu ndiyo nnapomuona Ten Hag ni fala. Toa uchafu huo weka watu watakaotusaidia.
Wewe ndio 'mjinga wa mwisho' yaani unamlaumu Anthony!! Anthony anashambulia ana spidi kubwa na anarudi haraka kumsaidia Wan Bissaka mpaka Maetineli na Saka wakapotea kabisa. Kwa hiyo unamsifu Martial sio...rubbish.
 
Sancho:

7hag Ni muongo na tapeli ,siokweli kwamba sijitumi mazoeziniView attachment 2738007
Hapa sasa ndiyo watu wataelewa jinsi gani Ten Hag ni fala.

Mimi suala la kumpanga tu Antony kila mechi najua kuna namna anafanya wachezaji wengine wasicheze. Eneo la RW ndiyo analocheza Sancho na Pellistri.

Kinachoendelea ni kama issue ya Ronaldo na EtH. Anatuaminisha Antony ndiyo bora wakati wengine hawapi nafasi ni kwasababu tu hatupati access ya kinachoendelea Carrington ila Ten Hag ni fala.

Antony ndiyo mchezaji aliyesajiliwa na akaingia first 11 moja kwa moja na ndiyo kiazi kuliko wote.
 
Jaribu, kukua na kujiheshimu sawa, kwanza wew ni mshabiki wa arsenal, mda wote humo humu kupost utumbo tu na kupitia comment zako huna unachokijua kuhusu mpira. Huyu 10hag sio kocha mbaya kama unavyozania wew tatizo kubwa la man united linaanzia kwa wamiliki glazers.

Kama unahoja nzuri za uchambuzi Leta hapa hakuna anayepinga hilo.lakini sio kila uchao unatuletea mipasho ya kike.
Punguza hasira mkuu ,mbona nyie mlikuwa na mdomo ,hasira za nini
20230903_230117.jpg
 
Back
Top Bottom