Wana Brighton, manjesta atawachukulia Ni wadogo ,atakula nyingiNyumbu mme relax ,mna furaha [emoji81][emoji81][emoji81]game zianze muendelee mlipo ishia
Huyu kwenye medical check alionekana ana majeraha madogodogo,kocha was Morocco hakuona sabb yakumtumia, akasema amuache apate full recovery Ili pia atumikie club yake mpya Kwa ufanis nadhan ni makubaliano na sufian aridhiaNimeisoma na mimi muda si mrefu hapa hata sielewi kinachoendelea ni nini.
Hamna team nyie soon mnatema ndoano. 😂Inkheart una mdomo Sana ,njoo hukuView attachment 2742871
𝗦𝗼𝗳𝘆𝗮𝗻 𝗔𝗺𝗿𝗮𝗯𝗮𝘁'𝘀 𝗶𝗻𝗷𝘂𝗿𝘆 𝗶𝘀 𝗻𝗼𝘁𝗵𝗶𝗻𝗴 𝘀𝗲𝗿𝗶𝗼𝘂𝘀, 𝗶𝘁'𝘀 𝗷𝘂𝘀𝘁 𝗮 𝗽𝗿𝗲𝗰𝗮𝘂𝘁𝗶𝗼𝗻.Huyu kwenye medical check alionekana ana majeraha madogodogo,kocha was Morocco hakuona sabb yakumtumia, akasema amuache apate full recovery Ili pia atumikie club yake mpya Kwa ufanis nadhan ni makubaliano na sufian aridhia
Nilikwambia acha kupiga kelele ,timu yako haiwezi kupiga pass 10 kwa usahihi eneo la mpinzaniHamna team nyie soon mnatema ndoano. [emoji23]
Mlicheza vzr wapi mbona huelezei ,mlichezaje vzrHatukucheza vibaya sana kama unavyotuaminisha masingeli.
Mlitegemea mpate ushindi mapema ila kwa kuwa na nyie msimu huu mmeanza mkiwa butu ushindi mmeupata wa papatu papatu dakika za majeruhi beki akiwa Maguire na Evans[emoji23] 5th choice.
Mpaka mashabiki zenu walianza kuondoka uwanjani means hatukucheza vibaya kiasi hiko tunahitaji marekebisho kidogo to with hawa new signings waingie kwenye mfumo tuanze kukiwasha.
Nyie mkija OT hamtoki nawaambia
Mental ya timu ndogo ni timu Kama arsenyani timu miaka 20 hakuna ubingwa timu toka ianzishwe no Uefa champions league,no ueropa.Nilikwambia acha kupiga kelele ,timu yako haiwezi kupiga pass 10 kwa usahihi eneo la mpinzani
Mlipiga pass 200+ touches 175 kwenye eneo lenu la backline
Dk 100 mlipiga shot on target 2 tu , Ni dhahiri hata kufika box la Arsenal kwenu ilikuwa mtihan,ndio maana hata mlipopata goli la kaunta ,dakika hiyo hiyo tukarudisha ,
Mna mentality ya timu ndogo ,
Mna onana ambaye Ni mzuri kwa timu based possession,Cha ajabu nyie Ni timu based counter attack,
What will happen?
Onana atachezea goli nyingi, atachezea fimbo Sana
Mechi 4 kashafumuliwa goli 8
Mechi 4 goli 8
Mechi 38 je atapigwa goli ngapi?
Nakupa homework siwezi kukutafunia kila kituView attachment 2743018
mshapigwa zingine hizi polojo tu, na nazan unajua arsenal ikikupiga the way uta feel season nzimaMental ya timu ndogo ni timu Kama arsenyani timu miaka 20 hakuna ubingwa timu toka ianzishwe no Uefa champions league,no ueropa.
Hivi nyie ukubwa wenu ni upi au kuchuwanishwa na man u miaka ya 2000 ndo kipimo chenu Cha ukubwa.
Kombe lenye mnaweza kubeba ni FA tu.
Ndiyo kombe lao hilo😂Arsenal kuifunga Man u wanaona kama wamebeba UEFA hivi😂😂😂
Kabla ya kupigwa mlisemajeNdiyo kombe lao hilo[emoji23]
Hizi nyingine porojo tuMental ya timu ndogo ni timu Kama arsenyani timu miaka 20 hakuna ubingwa timu toka ianzishwe no Uefa champions league,no ueropa.
Hivi nyie ukubwa wenu ni upi au kuchuwanishwa na man u miaka ya 2000 ndo kipimo chenu Cha ukubwa.
Kombe lenye mnaweza kubeba ni FA tu.
Wewe ulikuwa na mdomo SanaNdiyo kombe lao hilo[emoji23]
Kuifunga manjesta yenye mashabiki wenye mdomo Raha yake sawa na kusex na Kim Kardashian usiku mzimaArsenal kuifunga Man u wanaona kama wamebeba UEFA hivi[emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe jamaa si ndiyo ulisema Pochettino ni kocha bora kocha kashindwa kuipa UCL PSG yenye Messi,Mbappe na Neymar aje aweze Chelshit masingeli bana😂Wewe ulikuwa na mdomo Sana
Bado huna timu hata ya kubishana na Brighton
Subiri next week uone 7hag akifundishwa mpira na master Roberto Di Zerbi
Huyu hata Pep Guardiola huwa anapaki Basi