nilikuambia mapema ukatia uoga. Pole sana



Timu yetu imeisha aisee. Kuna watu wanasifia kabisa upuuzi unaoendelea.Martinell alivyocheza ndivyo winger anatakiwa kucheza sasa sisi tunasema Antony anakaba sana hahah haya.
Jasusi lipo kazini
Jaribu, kukua na kujiheshimu sawa, kwanza wew ni mshabiki wa arsenal, mda wote humo humu kupost utumbo tu na kupitia comment zako huna unachokijua kuhusu mpira. Huyu 10hag sio kocha mbaya kama unavyozania wew tatizo kubwa la man united linaanzia kwa wamiliki glazers.Nitakuwa mtu wa mwisho kuamini Sancho anafeli sababu ya uwezo
But Sancho anafeli sababu ya uwezo mdogo wa kocha aliyenae
Sancho ni talent iliyokosa mtu sahihi wa kuiendeleza
Sancho alishafanya makubwa anahitaji kocha sahihi wakumdevelopView attachment 2738021
Wewe ndio 'mjinga wa mwisho' yaani unamlaumu Anthony!! Anthony anashambulia ana spidi kubwa na anarudi haraka kumsaidia Wan Bissaka mpaka Maetineli na Saka wakapotea kabisa. Kwa hiyo unamsifu Martial sio...rubbish.Leo kidogo nimeangalia mpira wa kueleweka.
Ila Antony anatuchelewesha sana. Hapo tu ndiyo nnapomuona Ten Hag ni fala. Toa uchafu huo weka watu watakaotusaidia.
Hapa sasa ndiyo watu wataelewa jinsi gani Ten Hag ni fala.
Mtamkumbuka sana FredHIvi mctomnay ni majeruhi ama ni vipi
AsanteMartial akiendelea kupata namba nitaamini kocha ni Jasusi.
Punguza hasira mkuu ,mbona nyie mlikuwa na mdomo ,hasira za niniJaribu, kukua na kujiheshimu sawa, kwanza wew ni mshabiki wa arsenal, mda wote humo humu kupost utumbo tu na kupitia comment zako huna unachokijua kuhusu mpira. Huyu 10hag sio kocha mbaya kama unavyozania wew tatizo kubwa la man united linaanzia kwa wamiliki glazers.
Kama unahoja nzuri za uchambuzi Leta hapa hakuna anayepinga hilo.lakini sio kila uchao unatuletea mipasho ya kike.
Thank youKwa kweli Martoal ni mzigo, hakai kwenye position, hakabi ni kama kachoka hivi, hata goli tumefunga kashangilia kwa kuinua mikono tu na kukimbia.
Kusema namsifu Martial hiyo ni sentensi yako umeandika.Wewe ndio 'mjinga wa mwisho' yaani unamlaumu Anthony!! Anthony anashambulia ana spidi kubwa na anarudi haraka kumsaidia Wan Bissaka mpaka Maetineli na Saka wakapotea kabisa. Kwa hiyo unamsifu Martial sio...rubbish.
Wa Martial ni zaidi.Mganga wa Maguire hatari sana
Wale watawaua , Brighton Kama unataka kuwafunga waache wafanye build up Yao kwa Uhuru , lasivyo mnakula hata mkonoMsiba ni mkubwa sana week mbili hamna mechi
Tutashinda humu nanyi nyakati zote kuwafariji
Kabla hamjafiwa na mtoto mwingine mechi ya Brighton