verifaidi yuza
JF-Expert Member
- Sep 13, 2018
- 3,150
- 6,256
[emoji2788][emoji2788] We zombiii
Huyu tapeli aliona msako wa nyani umezidiHuyu dogo juzi baada ya kuona moto unapelekwa mwingi akazuga kaumia
Leo yuko zake training na ArgentinaView attachment 2740816
Akili za Ten Hag bwana,yaani ONANA ni bora kuliko De Gea??[emoji1787][emoji1787]ukisikia akili za MAKALIO ndio hizo alizotumiaDe gea
Lingard
Hao hawana timu
Maguire
Van de beek
Scott
Martial
Hata waarabu wa zoa zoa wameshindwa halafu ndio tulikuwa tunawategemea hao [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Siamini bado kama scot ni mbovu kihivyo ni falsafa tu za kocha kumweka benchi van de beek sijui alikuwa anabebwa na mfumo pale ajax ama ni vipi maana kiwango chake sahv hakijulikani 😄De gea
Lingard
Hao hawana timu
Maguire
Van de beek
Scott
Martial
Hata waarabu wa zoa zoa wameshindwa halafu ndio tulikuwa tunawategemea hao [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ilifikia kipindi FA na marefa wakawa wanamuona SAF kama boss wao.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Akili za Ten Hag bwana,yaani ONANA ni bora kuliko De Gea??[emoji1787][emoji1787]ukisikia akili za MAKALIO ndio hizo alizotumia
Akili za Ten Hag bwana,yaani ONANA ni bora kuliko De Gea??[emoji1787][emoji1787]ukisikia akili za MAKALIO ndio hizo alizotumia