Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Brain Fernandes 🔥
IMG-20260908-WA0013(1).jpg
 
Kabla ya kujenga timu lazima uwe na uhakika na kocha unaejenga nae timu.
Carrick subs zake ni hovyo, selection ya kikosi why sesko haanzi au sababu ni ametoka majeruhi, me sijui??
Wachezaji wake inafaa awape morali ya kujali Kila dakika ndani ya dakika tisini.
Sitaki kueleza sana, mpaka December tutamjua zaidi alivyo.
EPL ni ngumu of course, lkn tunapoteza points always Kwa kukosa kujali Kila dakika na game management.

Baleba kama akiwa fit atasaidia, maana kweny 6 DM ni mzuri sana kuliko tielemans au Santos

We have to compete regardless
 
Umeongea point ya msingi sana, tatizo la man u la sasa ni kocha. Kocha anashindwa kusoma mchezo ndio maana hajui aanze na mchezaji na yupi hamfanyie sub. Tatizo la pili la utd ni morali ya wachezaji kuwa chini na hili limekithiri nadhani toka aondoke Ferg. Ni kama wachezaji huwa hawajui nini wanatafuta kwenye mashindano, they can't fight. Wao wanajua kupambana wanapokutana na timubkubwa tu na ndio maana huwa wanashinda. Hii inaonesha jinsi walivyokata tamaa na kujiona wao ni under dog, hii sio hulka ya timu kubwa. Machester wanahitaji matibabu ya saikoloji zaidi ya usajili, haiwezekani mchezaji anakiwasha kweli kweli timu fulan ila akifika utd anafifia.
 
Umekubali sasa kuwa una team ya kawaida
 
Mkuu kuna mengi ya kusema, ngonja tuendelee kuangalia.

Game ya Leo na ya jpili zitanipa neno lingine la kusema.
 
Umekubali sasa kuwa una team ya kawaida
Timu ninayo nzuri, sema matokeo ndio yanaleta maneno mengi.

Lkn saiv nalia na mindset za wachezaji, na kocha namlaumu Kwa selection ya kikosi haswa sesko kuanzia nje ( labda sababu alikuwa injury)
Pili naona anazngua kweny sub, na tatu namlaumu hajui kuamusha morali ya wachezaji haswa tukiwa tunaongoza
 
Ila si mlikuwa mnamsifia kuwa akipewa team anaechukua ubingwa kile mlichoomba kimejibu Sasa mnalalamika nini
 
Kabla ya kujenga timu lazima uwe na uhakika na kocha unaejenga nae timu.
Carrick subs zake ni hovyo, selection ya kikosi why sesko haanzi au sababu ni ametoka majeruhi, me sijui??
Wachezaji wake inafaa awape morali ya kujali Kila dakika ndani ya dakika tisini.
Sitaki kueleza sana, mpaka December tutamjua zaidi alivyo.
EPL ni ngumu of course, lkn tunapoteza points always Kwa kukosa kujali Kila dakika na game management.

Baleba kama akiwa fit atasaidia, maana kweny 6 DM ni mzuri sana kuliko tielemans au Santos

We have to compete regardless
Hivi kwa nn anamtoaga mainoo
 
Yaani Jana Zirkzee kageuka Ronaldo De Lima from nowhere...Timu bado hii, Dorgu sijui ata improve lini kwenye kufanya Marking upande wake Jana ulikuwa unavuja sana...Sema timu za EPL zile kubwa ni Tia maji Tia maji kasoro Arsenal...
 
Maiko Kaniki sioni akifika Pasaka hajatimuliwa
🤣🤣🤣 UCL tumebakiza mechi 10 tu tukabidhiwe kombe letu.
Arsenyau mkituonyesha kombe lenu kama hili, mlilopata tokea kuumbwa kwa ulimwengu basi mi ntawaonesha kuku mwenye miguu mitatu.
 
Attachments

  • 7226c7bea52a560036b4f38645da8181.jpg
    7226c7bea52a560036b4f38645da8181.jpg
    180.5 KB · Views: 1
Hull city ameanza kwa ujumbe motto kwa big teams, style yake ya defensive na counter attack inamuacha carrick mdomo wazi, asijie mwenzie anaweka kabuki wa5...ampigie simu ole gunner socsocial amwambie mbinu

Namshangaa kwa sabab hata league ashawawekea barca viungo watano katikati akipambana mziki wawakina niesta
 
Ukiangalia Hull city inavocheza ipo organized kule hii timu ya Manchester 😁 ..

Michael Carrick sijui huwa anacouch kitu gani uko mazoezini technical

timu inakatika km vile inacheza championship

ipo siku hii Manchester United itakula nane ikikutana na timu yenye finishing kali

leo Kuna hatari halland katupia tatu peke ake
 
Poa tu
 
Back
Top Bottom