Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Ajax kama wanahisi tumewapunja pesa kwa EtH na Martinez wakate kwenye pesa ya Antony.

Hatujapigwa wazee, sisi ndiyo tumewapiga Ajax. Next summer turudi tena Amsterdam kuna watu wetu pale. 😁

de Jong usajili wake tunamaliza tukienda Camp Nou.
 
.
20230213_080810.jpg
 
Manchester inacheza leo na dunia yote ina huzuni[emoji22][emoji22][emoji22]
tumempoteza mwana Manchester mwenzetu AKA tukae kimya kwa dk moja kumuenzi[emoji22]

hawa ndo mashabiki sasa Mpaka wana tatoo za timu ni uzuni kwakweli kwa fans wa United wote duniani[emoji22]

Anyway ushindi leo lazima

Prediction

Leeds United 0 vs Manchester United 2

GGMU[emoji3590][emoji3590]View attachment 2514563
Wewe ni mchawi nini? [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Wachezaji wetu ambao watakosa game dhidi ya Barcelona.

Antonio martial injury

Antony do Santos injury

Lisandro Martinez yellow card

Marcel sabitzer yellow card

Christian ericksen injury

Scott McTominay injury

Uzuri ni kwamba casemiro ni mzima wa afya.
 
Wachezaji wetu ambao watakosa game dhidi ya Barcelona.

Antonio martial injury

Antony do Santos injury

Lisandro Martinez yellow card

Marcel sabitzer yellow card

Christian ericksen injury

Scott McTominay injury

Uzuri ni kwamba casemiro ni mzima wa afya.
Sababu itayo fanya sabitzer hakose game dhidi ya Barcelona.
20230213_082232.jpg
 
Sababu itayo fanya sabitzer hakose game dhidi ya Barcelona.View attachment 2515698
Kazi ipo na mwamba anaubonda haswa napenda anavyofosi kupiga mashuti golini...kwaio hii game ya barca tusitarajie makubwa kwani tuko na hali ya hatari kidogo

No Ericksen
No Case
No Sabi

Mmh tusitarajie makubwa waisa kwa barca hii inayofosi magoli
 
Back
Top Bottom