Castr
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 38,223
- 76,722
Alishamtoa sioni akishindwa.Dalot ana kazi kubwa sn kumtoa bissaka ile position, kazingua sn jana
Mwenye kazi ya kuchukua namba ya mtu pale ni Telles (Kama bado yupo)
Alishamtoa sioni akishindwa.Dalot ana kazi kubwa sn kumtoa bissaka ile position, kazingua sn jana
😄😄😄 We mjamaa bwana,City morali sasa chini atacheza kumaliza ligi tuu maana yanayomkabili ni magumu kuliko kuchukua ubingwa, Arsenal ana game nyingi ngumu sana zinamsubiri sioni akitoboa, atapigwa za kutosha na kuanza kudrop point kama kawaida yake, huu ni mwaka wa MANU washindwe wao tuu
Kwa performance ya jn sidhan... bissaka kaimarika sn kwa sasa ana mapungufu machache sn kulinganisha na dalotAlishamtoa sioni akishindwa.
Mwenye kazi ya kuchukua namba ya mtu pale ni Telles (Kama bado yupo)
Kiuhalisia man city msimu huu yuko hovyo..[emoji1][emoji1][emoji1] We mjamaa bwana,
Kwahiyo mtashinda mechi zote Hadi ligi inaisha?
Naona umeamua kumtafuta mpaka umempata.. hawa jamaa wanachokiwaza humo vichwani mwao wanajua wenyewe aisee!😄😄😄 We mjamaa bwana,
Kwahiyo mtashinda mechi zote Hadi ligi inaisha?
Mechi ijayo usipomsifia Fred nimekaa pale [emoji117][emoji143][emoji4]Fred jana amepata nafasi nyingi sana za kutupa ushindi ila anapiga mpira kama mtoto ambaye hajakomaa miguu..
Hovyo kabisa.
Akifanya vizuri tutamsifia,na akifanya vibaya tutamponda tu....Mechi ijayo usipomsifia Fred nimekaa pale [emoji117][emoji143][emoji4]
Magari ya mkaa trip shamba trip garageWachezaji wa Man U
Ukimtoa Casemiro, licha, Rashford wengine ni kupwa na kujaa kwa maji
Kajifunze kiswahili ndo uje kufadhahika vizuriBado hamuna sifa ya kugombea ubingwa mkikutana na timu zinazo press mnapoteana
Subirieni Kuna Oxford , reading, au Kila siku mcheze na kina bornamauth,forest
Ila kina Brentford,Leeds,Brighton ,fulham,astonvilla hawa muwabahatishe
Jamaa unaandika na kujijibu mwenyewe na kujichekea mwenye kweli mental health inatesa vijana.Leo analaumiwa Gamacho [emoji1787]
Tuliposema sio mchezaji mlitukana
Mbona kama unatuchamba?Leo analaumiwa Gamacho [emoji1787]
Tuliposema sio mchezaji mlitukana