synthesizere
JF-Expert Member
- Dec 22, 2019
- 882
- 1,281
Ana mikimbio mizuri kaa kwa kutuliaAliemuona Werghost kugusa mpira aniambie kagusa dakika ya ngapi?
Ana mikimbio mizuri kaa kwa kutuliaAliemuona Werghost kugusa mpira aniambie kagusa dakika ya ngapi?
Wamefanya mpira kupoa sana.Mabeki wetu daah! Wanakaa na mipira as if tunaongoza 3: 0
Hawapandishi timu asee! Kazi tunayo Kwa kweli
Kocha amuingize Martinez aseeCenter back wanaanzisha mipira taratibu sana.
Mipira ya kurudisha nyuma imekuwa mingi kupita kiasi.
Maguire ni KIMEO cha hatari
Kocha asipomtoa Magwaya,tunakufa.
Maguire ni KIMEO cha hatari
Yaan anatembea na mpira kama mzeeHuyu jamaa hawezi kabisa kucheza mpira, sijui EtH anawaza nini.
Inasikitisha sn, mbona nje kuna wachezaji aiseeSijui coach anasubiri tufungwe