Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kazi ipo na mwamba anaubonda haswa napenda anavyofosi kupiga mashuti golini...kwaio hii game ya barca tusitarajie makubwa kwani tuko na hali ya hatari kidogo

No Ericksen
No Case
No Sabi

Mmh tusitarajie makubwa waisa kwa barca hii inayofosi magoli
Casemiro atakuwepo mzee card yake ina fanya kazi kwenye mashindano ndani ya England tu.
 
Ajax kama wanahisi tumewapunja pesa kwa EtH na Martinez wakate kwenye pesa ya Antony.

Hatujapigwa wazee, sisi ndiyo tumewapiga Ajax. Next summer turudi tena Amsterdam kuna watu wetu pale. [emoji16]

de Jong usajili wake tunamaliza tukienda Camp Nou.
De Jong hatakiwi kusajiliwa United chezaji la kubembeleza kama demu la kishua hayafai.

Ferguson aliachana Sneider kwa sababu hizi za kubembeleza ndiyo ukawa mwisho wa career yake.
 
Kwa hiyo Sub alifanya nani na kupanga Weghorst akae nyuma ya Rashford 2nd half alikuwa nani, kocha lazima atajwe ni moja ya mbinu zake
Ndani ya dakika 20 ilitakiwa tuwe tumeshashinda hii game kama kungekuwa na mikakati sahihi kuhusu kikosi. Jinsi Leeds alivyotupeleka kipindi cha kwanza wapinzani wetu (hasa Barca) wanaangalia mechi na wanapata confidence kubwa sana.
 
Mweupe mama yako. Yaani huo ushindi wa mwishoni baada ya sub tulizozililia ndio unamuona kocha wa maana! ze-dudu
Yule kocha alifanya technical changes wkt flani. Alimtaka Tyler Malasia aingie katikati kutokea nyuma kisaidiaa kiungo, yule tall akarudi nyuma kidogo rashford akapanda juu kulia, then akamtoa Tyler malasia akabadili mfumo .

Kule nyuma wakabaki mabeki watatu.
 
Sabitzer yellow kapata lini?
Wachezaji wetu ambao watakosa game dhidi ya Barcelona.

Antonio martial injury

Antony do Santos injury

Lisandro Martinez yellow card

Marcel sabitzer yellow card

Christian ericksen injury

Scott McTominay injury

Uzuri ni kwamba casemiro ni mzima wa afya.
 
Back
Top Bottom