Darmian
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 17,308
- 46,799
Kuna game EtH ametunyima points kwa kutofanya Sub mapema au na kuanza na watu ambao hawana mchango wowote.Mie tokea Ile gemu ya mrudiano ya arsenal tuliopoteza, ilikua ni uzembe wa ten hag kushindwa kufanya sub mapema alinikera sana, ijapokua nakubali kuwa kwa Sasa tumebahatika kupata kocha mzuri.
Hii gemu ya Leo asingefanya sub mapema tusingepata ushindi huenda tungefungwa kabisa na hawa Leeds.






