Ni kweli mkuu tutaishia kutukana kocha na wachezaji bure. Msimu huu target ilikuwa top 4 na kupata kikombe angalau kimoja ila mpaka sasa utd ndio tumu pekee ambaye inashindania vikombe vyote hivyi wachezaji nao wanachoka na ikumbukwe wachezaji wetu wa baadhi ya sehemu sio wazuri mfano mbadala wa Casemiro na Erksen haupo so tumpongeze kocha mpka sasa mbinu zake zinalipa.EPL sio rahisi kihivyo.
Tuweni tuu serious, tusiwe ni ushabiki kupitiliza,.
ETH amefanya kazi kubwa.
Ila bado kufikiria ubingwa msimu huu.
Hao walioko juu, huu ni msimu wa pili wako pamoja, sisi ndio kwanza tuna miezi kadhaa.
Sisi bado tunategeneza timu, na kudrop points wakati unatengeneza timu ni vitu vya kawaida kabisa.
Kufikilia ubingwa msimu huu ni kujipa pressure isiyokuwa na sababu.
Ndio maana mnakojolewa sababu ya mahope mnayojipa hamsogei kwenye EPL table leo na uhakika Leeds atawakojolea saa 1 tutarudi kukumbushanaKatika mechi mbili hv karibuni timu zote za juu na huyu Newcastle aliyeopo Chini yetu wame drop point ni sisi peke yetu tume gain Pont 4...
Hii inamaana league ni ngumu ila timu inajitahidi...
Hebu tuone msimamo utakavyokuwa baada ya mechi 5...
Namuona arsenal akishuka mpk nafasi ya 3
Aisee EPL ina full of suprises. Wao wanachukulia mechi zote rahisiNdio maana mnakojolewa sababu ya mahope mnayojipa hamsogei kwenye EPL table leo na uhakika Leeds atawakojolea saa 1 tutarudi kukumbushana

Kikosi kipo vizuri,hasa kitendo cha kumweka bench Fred.Matchday..GGMU
=======
My Starting XI vs Leeds
=======
De Gea
AWB Varane Shaw Malacia
Sabtzer Martinez Fernandes
Pellistri Rashford Sancho
========
Timu ipiMichael Carrick anakiamsha huko Championship







Kikosi gani hiki. Kikosi hakina holding midfields!! Fanya ufanyavyo kwa kuwa Case na Erickson hawapo Fred/Tominay ni lazima wawepo. Yaani Bruno ndio atakuwa kiungo hapo kati au nani?Matchday..GGMU
=======
My Starting XI vs Leeds
=======
De Gea
AWB Varane Shaw Malacia
Sabtzer Martinez Fernandes
Pellistri Rashford Sancho
========
McTominay ni injury..Fred kwa ile Perfomance ya Juzi apumzike tu leo.Kikosi gani hiki. Kikosi hakina holding midfields!! Fanya ufanyavyo kwa kuwa Case na Erickson hawapo Fred/Tominay ni lazima wawepo. Yaani Bruno ndio atakuwa kiungo hapo kati au nani?
HEBU PANGA UPYA KIKOSI Darmian
Akianza leo itabidi nimvunjie heshima EtH kwa kumtukana kidogo..Werghost akianza ubingwa unakua wa nongwa, nashauri asianze kabisa kama tunataka ushindi.
apumzike kwa AmaniManchester inacheza leo na dunia yote ina huzuni
tumempoteza mwana Manchester mwenzetu AKA tukae kimya kwa dk moja kumuenzi
hawa ndo mashabiki sasa Mpaka wana tatoo za timu ni uzuni kwakweli kwa fans wa United wote duniani
Anyway ushindi leo lazima
Prediction
Leeds United 0 vs Manchester United 2
GGMUView attachment 2514563
We ndo unakojolewa, kilichokuleta huku kwa mabwana zako ni nn? Kama sio muwasho?Ndio maana mnakojolewa sababu ya mahope mnayojipa hamsogei kwenye EPL table leo na uhakika Leeds atawakojolea saa 1 tutarudi kukumbushana
Asernal atashika Kwa Kasi Sana Kwa sabab wanaokujanwana speed ya hatari wote watatu na Newcastle..Katika mechi mbili hv karibuni timu zote za juu na huyu Newcastle aliyeopo Chini yetu wame drop point ni sisi peke yetu tume gain Pont 4...
Hii inamaana league ni ngumu ila timu inajitahidi...
Hebu tuone msimamo utakavyokuwa baada ya mechi 5...
Namuona arsenal akishuka mpk nafasi ya 3