Flano
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,875
- 16,442
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Carrasco putin ni mtu wa Mungu huyo hana baya na mtu.
Nnachompenda hua anakichafua kwenye majukwaa yote, yeye hua hana rafiki wala adui wa kudumu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Carrasco putin ni mtu wa Mungu huyo hana baya na mtu.
Umeicheki ile pasi ya goli aliyopiga kwa Garnacho??..
Sabitzer, huyu mchezaji tumnunue tu.
Haihusiani na kuchoka. Ile sub ya Martinez na Garnacho ndio imewamaliza.Leeds huwa wanakimbia hovyo na kupress sana ila kuanzia dakika za 70 hivi wanachoka. Kwahio ukiwa patient na ukilinda goli lako unawamaliza mwishoni. Ndio kilichotokea leo na mechi iliopita ingawa mechi ile United walifanya kosa kuruhusu magoli mawili
Nimeona alivyorudishwa kucheza nyuma ya Rashford kacheza vizuri sana. I think aanze kutumika kama no 10.Wegosti hapigi nyeto kweli wakuu? Mbona ile miguu kama haina uroto
KaushaKuna siku nilisema huyi kocha ni "mjinga" watu wakanijia juu. Kuna mtu angeweza kuhisi Maguire, Dalot, Whergost wataanza leo?
Leed tumemalizana naye. We are there already.EPL sio rahisi kihivyo.
Tuweni tuu serious, tusiwe ni ushabiki kupitiliza,.
ETH amefanya kazi kubwa.
Ila bado kufikiria ubingwa msimu huu.
Hao walioko juu, huu ni msimu wa pili wako pamoja, sisi ndio kwanza tuna miezi kadhaa.
Sisi bado tunategeneza timu, na kudrop points wakati unatengeneza timu ni vitu vya kawaida kabisa.
Kufikilia ubingwa msimu huu ni kujipa pressure isiyokuwa na sababu.