Analyse
JF-Expert Member
- Jan 19, 2014
- 17,638
- 47,697
Komaa na timu yako mkuu 😅Hili litimu likishinda napata hasira kweli kweli nalichukia sana
Komaa na timu yako mkuu 😅Hili litimu likishinda napata hasira kweli kweli nalichukia sana
Nimeshaweka Mambo Sawa mkuu Mambo ya kupaste keyboard kila inachokuletea pale juu.Mkuu soma tena hii comment
Unafikiri Weghorst asingekuwepo sasa hivi angekuwa anaanza nani kule mbele ?Mchezaji mpiganaji ndio tunamuhitaji.
Japo sijui kwann kocha anamuhitaji
Kuna watu wanajua kubashiri jamaniBado game mojaView attachment 2516494
Mechi za makundi UEFA, kama angebaki Bayern ilikuwa akose mchezo wao vs PSG kesho. UEFA wame-transfer suspension yake kwetu.Sabitzer yellow kapata lini?
Shukrani mkuu Kwa ufafanuziMechi za makundi UEFA, kama angebaki Bayern ilikuwa akose mchezo wao vs PSG kesho. UEFA wame-transfer suspension yake kwetu.