Kitoabu
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 11,083
- 12,326
Mpuuzi tu hana Issue.Hapewe mipira kabisa! Labda tuone akipewa atafanya nini
Dk 45 zinaisha hana hata shuti moja lililo lenga holi!!
Mpuuzi tu hana Issue.Hapewe mipira kabisa! Labda tuone akipewa atafanya nini
Fred atoke!!! Unataka majanga hapo kati. Anapambana mwenyewe hapo mpaka kapigwa yellow.Aingie tu Genarcho badala ya Weghost. Fred atoke aingie yule dogo wa team B
Anajua Maguire ni njia.De Gea mwenyewe hajiamini, sasa unapomrudishia mpira kwa presha lazima achukie.
Huyu Maguire tumtoe hata mkopo akaondoe wenge kwanza.Tunahitaji midfielders wenye kaliba ya casemiro na sticker wa uhakika!
Lazima tuingie sokoni asee. Maguire auzwe mapema sana
Mkuu mimi madogo wa academy huwa nawaamini sana wanafighting spirit kubwa sana nadhani ile dhana ya uchoyo ni kwa kuwa dogo anashauku kubwa sana ya kufunga ukizingatia ndio kapandishwa juzi na kule chini yeye ndio aliyekuwa anatengenezewa sio kutengeneza.Dogo alifanya uchoyo game moja tu kelele hadi zimemfikia. Ila kiufupi anatakiwa tu kuambiwa aache uchoyo acheze kitimu, yupo vizuri sana na anaendelea kukua.
Madogo wakija tatizo wakina shaw wanakaza.Mkuu mimi madogo wa academy huwa nawaamini sana wanafighting spirit kubwa sana nadhani ile dhana ya uchoyo ni kwa kuwa dogo anashauku kubwa sana ya kufunga ukizingatia ndio kapandishwa juzi na kule chini yeye ndio aliyekuwa anatengenezewa sio kutengeneza.
Hili ni tatizo la muda tu ila kiukweli ukifuatilia magoli mengi tuliyofunga siku za karbuni yameanzia kwake. Dhana ya uchoyo inakuja pale anapokosa goli ila angekuwa anafunga watu wangemezea. Mfano Greenwood huwa hatoi pass kwa mtu maeneo ya box sema yeye ana accuracy kubwa sana akishoot akakosa ni 1 kwa mbili.
Haaaahaaa alimanusura atufunge.Huyu Maguire tumtoe hata mkopo akaondoe wenge kwanza.
Sawa, tunashinda lakini.Liwezekanalo leo usingoje kesho.
Mimi nahisi akipewa mipira anaweza akaonyesha kituKocha na Werghost wake mimi nawacheki tu..
Kocha anafanya mambo yawe magumu yeye mwenyewe..
Jamaa hakuna anachoweza..
Sawa sawa ume eleweka.Yaani tufungwe leo kwa ajili ya mechi ya keshokutwa? Panga full mziki mkishinda goli mbili za haraka unawatoa wachezaji wako unaotaka wasiumie/wasichoke.
Kabisa mkuu jamaa hapewi mpira kabisa halafu watu wanamlaumu.Mimi nahisi akipewa mipira anaweza akaonyesha kitu.