Hawa wenzetu wameona nini kwa huyu dogoBorussia Dortmund have explored the conditions of loan deal to sign Anthony Elanga from Manchester United, it’s concrete. 🟡️ #BVB
Understand player side would be open to Bundesliga move, Everton are also interested. Decision up to Man United. #MUFC
Source: Fabrizio RomanoView attachment 2484054
😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣 We jamaa unaota ndoto nyevuMsimamo wa ligi mpaka kufikia May
1: Manchester United
2: Manchester city
3: Newcastle United
4: Arsenal
Wapendwa mashabiki wa chama kubwa manchester united, huo👆 ndio msimamo wa ligi msimu huu, napia si hivyo tu Hadi carabao,FA na Europe huyo mwamba hapo juu namba 1 bado anashiriki, na msimu huu mechi 8 mfululizo unbeaten and still more suplise to come for the red devil's👍
Jumamosi tusitegemee ushindi, arsenal ni ya moto sn wakuu, kama umetizama gemu zao utakua ni shahidi.. tuache ushabiki kwa wachezaji hawa kina rashford,antony,martial n.k hatupati kitu msimu huu
Bora sancho aiseeAntony bana mi simuelewi kabisa ni bora sancho jamaa mwepesi sana winger hatoi cross hapigi chenga aaah.
Ila bado tuko ON tumeshinda sana tukaanza kuchoka ushindi ni mingi wacha tupumzike kidogo jpili moto unaendelea
Arsenal tunajua tutamfunga United kwa kigezo kimoja, tutacontrol mchezo kwa zaidi ya 65%. Huwezi kushinda Emirates km huwezi kucontrol mchezo, na united hawezi kucontrol mchezo dhidi ya Arsenal, mechi tuliyocheza OT ilionesha wazi level yenu, mlishinda thru gamestate muda wote tulikuwa tunaichase game kusawazisha goli lakini at the end of the day tukawa exposed.United mechi aliyoongoza kwa ball possession against big 6 ni ya Spurs tu nyingine zote opponents ndiyo wanakaa sana na mpira lakini kipigo kinakuwa kwao.
Kama kawaida yetu pasi 5 goli. Nyie Arsenal mnatamba sana kwasababu mmewafunga wachovu kama Spurs. Yale magoli ni moja tu la Captain ndiyo utahesabu kama kitu Arsenal walifanya kwenye ile mechi. 2nd half timu ilikatika mlipoteana sana na mlipelekewa moto.
Hii mechi mmeirahisisha sana lakini hamjui kitu mnachoenda kukutana nacho, nyie mnaamini atmosphere ya Emirates tu, pale tuna wachezaji wamecheza Camp Nou, wamecheza kwenye big stages unadhani Emirates ni sehemu utaweza kuwapoteza?
Jiulize, mnaenda kukutana na timu ya aina gani? Ni tofauti kabisa na ile iliyowapiga 3. Bora zaidi!
Hongera Sana mkuu kwa uchambuzi wako mzuri, to be honest Manchester kupata alama pale Emirates Ni mtihani mgumu Sana ambayo mafans wa Man Utd wamekataa kukubaliana naoArsenal tunajua tutamfunga United kwa kigezo kimoja, tutacontrol mchezo kwa zaidi ya 65%. Huwezi kushinda Emirates km huwezi kucontrol mchezo, na united hawezi kucontrol mchezo dhidi ya Arsenal, mechi tuliyocheza OT ilionesha wazi level yenu, mlishinda thru gamestate muda wote tulikuwa tunaichase game kusawazisha goli lakini at the end of the day tukawa exposed.
Huwezi kupack bus Emirates, utakuwa kwenye mazingira ambayo si salama, the atmosphere is behind, technically tuna wachezaji wazuri na structure ya kuunlock these low block teams, bahati mbaya hamuwezi kupossess mpira kwa kukosa technically gifted players kwenye key areas, hivyo mkiwa na mpira tutawapress aggressively tutachukua mpira, kwa jicho langu la kishabiki naona tutashinda 2-0/ 3-1 /3-0, ila sioni united wakishinda Emirates.
Shabiki wa kweliPale tumepigwa.

Mpira ni mbinu,possession pekee sio mbinu.suala la possession ndio utamaduni wa Asernal siku zote.Ninyi mnasifika kwa jitihada sisi tunasifika kwa matokeo huo ndo utofauti wenu na sisi.Arsenal tunajua tutamfunga United kwa kigezo kimoja, tutacontrol mchezo kwa zaidi ya 65%. Huwezi kushinda Emirates km huwezi kucontrol mchezo, na united hawezi kucontrol mchezo dhidi ya Arsenal, mechi tuliyocheza OT ilionesha wazi level yenu, mlishinda thru gamestate muda wote tulikuwa tunaichase game kusawazisha goli lakini at the end of the day tukawa exposed.
Huwezi kupack bus Emirates, utakuwa kwenye mazingira ambayo si salama, the atmosphere is behind, technically tuna wachezaji wazuri na structure ya kuunlock these low block teams, bahati mbaya hamuwezi kupossess mpira kwa kukosa technically gifted players kwenye key areas, hivyo mkiwa na mpira tutawapress aggressively tutachukua mpira, kwa jicho langu la kishabiki naona tutashinda 2-0/ 3-1 /3-0, ila sioni united wakishinda Emirates.
Ubingwa???Kwa mara ya kwanza baada ya kipindi kirefu sana tunaenda kuiona McFred tena kwenye mechi ngumu ya kuamua hatima yetu kwenye mbio za ubingwa.
Martinelli hakabwi na beki mmojanipeni maujanja ya kuhifadhi comment za wabwatukaji....
"nileteeni wan bissaka dhidi ya Arsenal nipate kushuhudia ubabe wa huyo martinelli"
kwa sauti ya Magufuli.
Anakabwa na wangapi?Martinelli hakabwi na beki mmoja