Manchester United (Red Devils) | Special Thread

J'pili Tukutane Emirates wanangu wa #jijiemyu [emoji23]
20230119_214115.jpg
 
Tumedondosha alama mbili juzi ila msimamo wangu ni ule ule. Msimu huu mweupe sana kama tukizichanga karata zetu vizuri tuna nafasi kubwa sana ya kufanya jambo.
Tatizo chama letu linadissapoint Sana kipindi ambacho mashabiki tunakua tumeweka matumaini makubwa, mfano mechi na palace ilikuwa muhimu Sana kushinda. Lakini angalia utoto waliokua wanafanya hovyo kabisa
 
Huwa najiuliza Kama hawa madogo wanaelewa imani tunayokua mayo juu yao
Ujue kusema ukweli ile front line yetu bado hatuna mtu serious anayeweza kukupa kombe. Maana yangu hapa unahitaji mtu mwenye mpira wa kiutu uzima hata kama ana umri mdogo aina ya mchezaji kama Kylian Mbappe.

Rashford, Martial na Antony ukimuondoa Weghorst hao bado kuna muda huoni ile akili ya kikubwa yaani unaweka kando ubinafsi na una-channel akili nzima kucheza kitimu ili kupata matokeo.
 
Pale mbele garnacho ndio mchezaji pekee ambaye Ana kipaji anajituma na jitihada zake zina positive impact na anaonekana Ana bright future, hawa wengine wana viwango papatu papatu Leo amewaka keshooo ndio flop iliyopitiliza
 
Spurs ni bure kabisa
Werchost nilimuoangalia jana vizuri nadiriki kusema ATAWASHANGAZA anamovement za hatari sana ni vile Rashidi game ilimkataa jana alaf kuna kitu niliona jana kuchezesha Bruno na Antony upande mmoja wanachanganyana sana na kaBruno kanapenda lawana ndomaana walipishana kauli

Masena uongo
 
Ujue kusema ukweli ile front line yetu bado hatuna mtu serious anayeweza kukupa kombe. Maana yangu hapa unahitaji mtu mwenye mpira wa kiutu uzima hata kama ana umri mdogo aina ya mchezaji kama Kylian Mbappe.

Rashford, Martial na Antony ukimuondoa Weghorst hao bado kuna muda huoni ile akili ya kikubwa yaani unaweka kando ubinafsi na una-channel akili nzima kucheza kitimu ili kupata matokeo.
Weghorst alifanya nini siku ile mpaka umuondoe kwenye lawama ?
 
Tatizo chama letu linadissapoint Sana kipindi ambacho mashabiki tunakua tumeweka matumaini makubwa, mfano mechi na palace ilikuwa muhimu Sana kushinda. Lakini angalia utoto waliokua wanafanya hovyo kabisa
Yani hii ni miaka nenda rudi. Kuna msimu tulikuwa na kila nafasi ya kuingia top 4 ila kila mechi ya muhimu tunadondosha points mpaka mechi ya mwisho ndiyo tukampiga Leicester tuka-qualify UCL.

Ndiyo yanajirudia hata msimu huu, game ya Palace ilikuwa inamalizwa mapema ila uchoyo wa Rashford ilimradi aweke rekodi zake tukakosa points 3. Hata Garnacho ana hayo mambo sana ila mechi ya City alinifurahisha sana alifanya maamuzi sahihi. Kule mbele wakiacha utoto na kujua siyo lazima kila mechi ufunge tutafika mbali.
 
Back
Top Bottom