Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

1674147134015.png
 
nipeni maujanja ya kuhifadhi comment za wabwatukaji....

"nileteeni wan bissaka dhidi ya Arsenal nipate kushuhudia ubabe wa huyo martinelli"
kwa sauti ya Magufuli.
Sisi winga zetu, zina tabia moja zinatanua uwanja , hivo wana bisaka akienda ,hiyo space anayoacha ndio tunaitaka , hatuna shida na tackling zake ,
 
Mechi ya jana tulicheza ovyo sana...
Utadhani ni genge la wahuni la mitaa ya JANG'OMBE.

Tukienda uwanjani na mentality ile ya jana tutakula goli 3 kavu kavu bila ya ndomu siku ya jumapili

Mamluki [emoji23][emoji23]
Man U ipo ktk progress ambayo Arsenane washaimaliza lkn Jumapili Arsenane shinda yke ni sare
 
Back
Top Bottom