adriz de mbusii
JF-Expert Member
- Sep 2, 2017
- 16,787
- 37,793
Rashford kakosa chance kibao kisa uchoyo na kutaka mafanikio binafsi..
Hamna timu hapa kmmkeTumerudi tena kupambania top 4.
Pamoja na kutuokoa leo alikua anapoteza mipira kifala sana, Rashidi nae leo sijui alikula maharage ya wapi?AWB ametuokoa tupate point 1.
jamaa mchoyo sanaPamoja na kutuokoa leo alikua anapoteza mipira kifala sana, Rashidi nae leo sijui alikula maharage ya wapi?
Ten Hag kwa uzembe wake wa kuchelewa kumtoa Casemero amewarahisishia Arsenal game ya jumapili.
Mechi ya leo imeniuma sana kwa kweli ni bora ningelala zangu tu nikapata matokeo kesho asubuhi.
Cry more...!Pamoja na kutuokoa leo alikua anapoteza mipira kifala sana, Rashidi nae leo sijui alikula maharage ya wapi?
Ten Hag kwa uzembe wake wa kuchelewa kumtoa Casemero amewarahisishia Arsenal game ya jumapili.
Mechi ya leo imeniuma sana kwa kweli ni bora ningelala zangu tu nikapata matokeo kesho asubuhi.
Sema rashford ndo katunyima point 3Rash antony wametuangusha sana leo
wanaregezaga nati uwaite wapige helaDStv ikinyesha mvua kidogo tu "NO SIGNAL" nashindwa kuona soka la vijana wa EtH ipasavyo.
#GGMU
Pamoja na form aliyonayo huyu Rashford sijawahi kumkubali namwona hawezi ku-mature zaidi ya hapo esp kwenye team work.Sema rashford ndo katunyima point 3
Leo kacheza ovyo sana Leo[emoji24]Dah Rashford ugonjwa wake umesharudi tena