Checnoris
Senior Member
- Aug 21, 2022
- 123
- 269
Rashford ni mpumbavi Sana huwaga simkubaki kabisa. Hallad anakwenda kusaidia chini juu yeye kakalisha matacore yake mbeleSi mbaya walau tumetupia 3.Rashfold kazingua sana kama angetumia nafasi vizuri mambo yangekuwa mengine.
Nakunywa š· na maumivu kiasi na amini katika project ya Mwl.


