Yani kupata goli 3 unafurahia wakati ushapigwa 6 halafu angalia hizo goli umezipata wakati gani hii timu yenu inabidi mjipe mda wa kufanya rebuild na hapo muombe huyu kocha awe sahihi kwenu tofauti na hapo mtabaki na majutoKipindi cha pili walau tumeonyesha uhai.
Kwa hizo goli 3 tulizozipata mbele ya city sio kitu cha kubeza hata kidogo.
Kwangu mimi hii game ya leo najihesabia sisi ni washindi ingawa point 3 zimeenda kwa city.
Goli la Anthony ndio goli bora kabisa kwa mwezi huu wa October.
Wanaombeza Anthony wana chuki zao binafsi inabidi wapuuzwe ingawa Anthony nae anapaswa pia abadilike kwa kufosi kufunga wakati kuna wachezaji wengine wapo kwenye position nzuri zaidi.
Huu ni wakati sasa wa Bruno Fernandez kuanzia Sub, jamaa kwa sasa amepoteza umakini na anapelekea kuigharimu sana timu kwa kupoteza kwake mipira mara kwa mara ingawa kuna baadhi ya mechi hua anatuokoa.
Haaland ni balaa kubwa tuliloletewa kwenye Epl na hatuna budi kukubaliana nalo, mechi 8 hatricks 3 yaani hili jini mpaka ligi inaisha litakua na magoli 50+
Majinga haya matoto sasa yamemfanya nini jirani yao
Picha la kutisha hiliWho scored hatrick?View attachment 2375175
jamaa kavu sanaIla Rashford wakuu mimavi sn.
ronaldo hakuanza kaanza rashford vipi aliupiga mwingi ? mctominay nae vipiSina shaka mechi ya leo, City anaenda kui dominate na kama kawaida yake atacheza high line. Kama wachezaji watakuwa na discipline, wakaweka workrate kubwa as a team(hii inawezekana Ronaldo asipoanza) , intensity kubwa, cover more distance uwezo wa kupambana na City upo. Sijui kama tutashinda ila lazima tumfunge magoli kadhaa kwa kuwa tupo vzr kwenye counter. Defence yetu ndo itaamua kama tunashinda mechi au la..
Mkuu mbona wao wamepata goli tano baada ya Varane kuumia?Yani kupata goli 3 unafurahia wakati ushapigwa 6 halafu angalia hizo goli umezipata wakati gani hii timu yenu inabidi mjipe mda wa kufanya rebuild na hapo muombe huyu kocha awe sahihi kwenu tofauti na hapo mtabaki na majuto
Umeongea point Sana, hizo goli 3 pia zimekuja baada ya Pep kufanya sub, maana ana mech ya UCL ,pia mwez wa 10 Kuna mech kila baada ya siku 3Yani kupata goli 3 unafurahia wakati ushapigwa 6 halafu angalia hizo goli umezipata wakati gani hii timu yenu inabidi mjipe mda wa kufanya rebuild na hapo muombe huyu kocha awe sahihi kwenu tofauti na hapo mtabaki na majuto
Kumbe unawajua man utd zaid kuliko timu unayoitetea man city. Kweli nyie unaakili za kuku. Huohuo uginyi na injury ndiyo udhaifu wao. Vitu kibao hamuvifanyii consideration unaongea upumbupumbu, hujaangalia weakness za pande zote. Hujui kocha wa utd anahaha kupata wachezaji anaowataka, anatumia remains za wenzie.Umeongea point Sana, hizo goli 3 pia zimekuja baada ya Pep kufanya sub, maana ana mech ya UCL ,pia mwez wa 10 Kuna mech kila baada ya siku 3
Na mancity ana kikos finyu na tayari ana majeruhi kadhaa, mancity ana wachezaji 25 au 24 tu Kama sikosei ,tofaut na man u Wana wachezaji 30-31 ,
Ilikuwa lazima Pep afanye Zile sub, maana Rodri,Walker ,Stones, injury
Kuhusu Rebuild upo sahihi ,pakibuma hapo ,unaishia kufukuza kocha unabaki na wachezaji wanakula mishahara mikubwa kuwaondoa ngumu
Mkuu mbona wao wamepata goli tano baada ya Varane kuumia?
Acha kuteseka,TIMU ITAWAUA HIYOKumbe unawajua man utd zaid kuliko timu unayoitetea man city. Kweli nyie unaakili za kuku. Huohuo uginyi na injury ndiyo udhaifu wao. Vitu kibao hamuvifanyii consideration unaongea upumbupumbu, hujaangalia weakness za pande zote. Hujui kocha wa utd anahaha kupata wachezaji anaowataka, anatumia remains za wenzie.
Mnapenda kuongelea matarcore yenu ya nyuma. Ishu kikao you cc an talk about, mnaongelea nyegere zenu maaanina kabisa.
Alafu matokeo yakawaje?mandonga unitedLile Goli la Anthony madaktari bingwa wa Muhimbili wamethibisha kua linauwezo wa kutibu pressure, kisukari pamoja na cancer.
View attachment 2375393
Tatizo mnabetia timu mnazozipenda ndio mnaumia double doubleKumbe unawajua man utd zaid kuliko timu unayoitetea man city. Kweli nyie unaakili za kuku. Huohuo uginyi na injury ndiyo udhaifu wao. Vitu kibao hamuvifanyii consideration unaongea upumbupumbu, hujaangalia weakness za pande zote. Hujui kocha wa utd anahaha kupata wachezaji anaowataka, anatumia remains za wenzie.
Mnapenda kuongelea matarcore yenu ya nyuma. Ishu kikao you cc an talk about, mnaongelea nyegere zenu maaanina kabisa.
Akili huna aliumia au katolewa akiwa kachoma goals mbiliMkuu mbona wao wamepata goli tano baada ya Varane kuumia?
Hujaongea point ata mojaKumbe unawajua man utd zaid kuliko timu unayoitetea man city. Kweli nyie unaakili za kuku. Huohuo uginyi na injury ndiyo udhaifu wao. Vitu kibao hamuvifanyii consideration unaongea upumbupumbu, hujaangalia weakness za pande zote. Hujui kocha wa utd anahaha kupata wachezaji anaowataka, anatumia remains za wenzie.
Mnapenda kuongelea matarcore yenu ya nyuma. Ishu kikao you cc an talk about, mnaongelea nyegere zenu maaanina kabisa.
Msamehe bure, ww imagine umepigwa 6 kwny derby na lbd ulibet au ulijipata matumaini City anaweza kua kama Liver au Arsenal hata ww mkuu ungeumia so muelewe tu.Hujaongea point ata moja