computerarsenal
JF-Expert Member
- Jan 27, 2020
- 3,479
- 6,036
Jamaa anakera sana hadi sitamani timu yangu tukutane na cty aiseeHaaland kama wakala wa sensa nyumba kwa nyumba
Kwa mfumo wa man city kiungo d bruyne atasumbua sana zile za kupress goli zake kama la tatu lile mtaalamu sanaJamaa anakera sana hadi sitamani timu yangu tukutane na cty aisee
Haaland kama wakala wa sensa nyumba kwa nyumba
uyu dogo Ni mtu mbadiUnasema?😃😃😃Leo city watajua hawajuiii
KONDE TV, Ukishaipakua rudi unishukuru hapa JFJamani ni saidieni link au app ni tizame mechi hii.....
Huzijaona beki?Hii game tumepatikana. Kiungo kama hakuna mtu.
acha upumbavu wew city unamuweza au unaongea kujifariji tu hapa timu gani pale england ambaye anauwezo wakushindana cityTukisema mnacheza kiujanja ujanja ,watu wanalipa viingilio waone burudan ,Kocha wenu anaweka timu nyuma
Mnaona tunawasengenya
Acha makasirikio ,endelea kukaa nyuma tu, Kama hujala 7-0acha upumbavu wew city unamuweza au unaongea kujifariji tu hapa timu gani pale england ambaye anauwezo wakushindana city
Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Chelsea, Liverpool na Man UTD zinatakiwa muda zaidi ya miaka miwili hadi mitatu mbele kuimarishwa vizuriman u hamna timu. ni timu yangu lakini najua itahitaji muda mrefu kukaa sawa