Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Man city jinsi anavyotufukuza, anaweza akaharibu TITLE CONTENDER

Tatizo nyie wapuuzi mnakelele sana

Bora mfe tu, man city nitamshughulikia mwenyewe

City 7 vs nyumbu 0
Nilituma hii
 
Kocha la Mpira ETH kwny first press alipoulizwa anazungumziaje ubora wa Liverpool na Man City na ana mpango gani kukabiliana nao,

Alijibu
"WE SHALL BATTLE THEM ALL" [emoji1491][emoji1491].
Kauli ya kiume sana hii, na tushaanza shughuli.

Morale ikiwa juu hata mambo yanayoonekana kutowezekana huwa yanawezekana.

Sema tulimiss sana timu la mpira, hatujawa uwanjani muda mrefu.

GGMU [emoji1491][emoji1491]

Fans wanalikimbia BATTLE[emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23]
IMG_20221002_152352.jpg
 
Back
Top Bottom