Yaani wachezaji wawili wanapiga hattrick?Kila mmoja kamaliza pakiti. Wapewe nyingine.







Kipigo cha fumanizi la mke WA mtu huwa ni kikali Maana hapo kuna njemba zimekuja na mafuta kabisa ,leo Man u mmeyakanyagaYaani wachezaji wawili wanapiga hattrick?Kila mmoja kamaliza pakiti. Wapewe nyingine.
awa city nao wasipotibu tatizo lao la kuluhusu migoli ovyo itawachukua muda mrefu sana kubeba ligi ya mabigwa barani ulaya
sema antony hat trick.Antony Matial nae hatrick