Manchester United (Red Devils) | Special Thread

The best CB pairing itl.
IMG_20221002_183621.jpg
 
Kama kawaida ya binadamu cha kale dhahabu, nyie c mlikuwa mnamtukana Ole kila siku humu?
Hawa mashabiki wa manure huwa hayaeleweki wanataka nini, hata kipindi cha Ole walisema bora Mourinho, wakimfukuza 10 hag baadae watamkumbuka. Man U mkubali mpitie kipindi cha kujenga timu msitake mafanikio ya haraka haraka, timu sasa hivi EPL ni nyingi zinazoshindana kwa ajili ya ubingwa ndo sababu ligi inakuwa ngumu sio kama zamani ambapo timu nne tu ndo zilikuwa zinapambania ubingwa, msimu huu imeongeza Newcastle nayo inataka ubingwa
 
Braza upo serious kweli new castle anataka ubingwa wa EPL iyo top four tu kuipata ni shughuli na lini ligi kuu england imewah kuwa nyepesi had useme kwamba united anafungwa Kwa sababu timu nyingi zinataka ubingwa misimu yote ligi ya EPL haijawah kuwa nyepesi au ww mwezetu umeanza kuangaliaa EPL Leo
 
Ligi kuu Uingereza ni nyepesi sema ina timu nyingi zinazoshindania ubingwa tofauti na ligi nyingine unakuta timu zinazoutaka ubingwa ni mbili au tatu. Angalia perfomance za timu bingwa misimu ya hivi karibuni timu zinachukua ubingwa na point 90+
 
Back
Top Bottom