Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Ukigeuza TV yako hapo home utaona Ronaldo kaingia naye amepata hat-trick na ku-level score board.🤣🤣
 
Si mbaya walau tumetupia 3.Rashfold kazingua sana kama angetumia nafasi vizuri mambo yangekuwa mengine.

Nakunywa 🍷 na maumivu kiasi na amini katika project ya Mwl.
 
Hapa ndio unapoona tofauti ya Man United na Arse
Mashabiki wa United hua hatusapoti upumbavu pale timu inapozingua, iwe kazingua mchezaji, kocha au mmiliki hua tunawachana live na tunaonyesha reactions.
Nyie Arse hua mna excuse hata mkitiwa kidole na bado mtasifia juu na hamtaki timu, machezaji au kocha akosolewe.
Kunywa maji sasa mkuu,
Pia kaa sehemu yenye hewa safi

Tupo pamoja huu msiba wetu sote
 
Huyu city sasa alichobakiza ni kufukuzia uefa tu sasa hv
Kwa huo ujinga wa city wakuruhusu magoli ovyo hawezi kubeba UEFA na Ata kama atabeba itamchukua mda mrefu sana labda timu kama Real Madrid,Bayer Munich wawe hawapo kweny UEFA huwezi kubeba UEFA Kam tu nyumbani kwako tu unauwezo wa kuruhusu magoli zaidi ya matatu
 
Yap hili ni kweli pia
 
6 kwa 3 sio mbaya wakuu kuliko ingekuwa 6 kwa 0.
Kipindi cha pili walau tumeonyesha uhai.
Kwa hizo goli 3 tulizozipata mbele ya city sio kitu cha kubeza hata kidogo.
Kwangu mimi hii game ya leo najihesabia sisi ni washindi ingawa point 3 zimeenda kwa city.
Goli la Anthony ndio goli bora kabisa kwa mwezi huu wa October.
Wanaombeza Anthony wana chuki zao binafsi inabidi wapuuzwe ingawa Anthony nae anapaswa pia abadilike kwa kufosi kufunga wakati kuna wachezaji wengine wapo kwenye position nzuri zaidi.
Huu ni wakati sasa wa Bruno Fernandez kuanzia Sub, jamaa kwa sasa amepoteza umakini na anapelekea kuigharimu sana timu kwa kupoteza kwake mipira mara kwa mara ingawa kuna baadhi ya mechi hua anatuokoa.

Haaland ni balaa kubwa tuliloletewa kwenye Epl na hatuna budi kukubaliana nalo, mechi 8 hatricks 3 yaani hili jini mpaka ligi inaisha litakua na magoli 50+
 
Kwa huo ujinga wa city wakuruhusu magoli ovyo hawezi kubeba UEFA na Ata kama atabeba itamchukua mda mrefu sana labda timu kama Real Madrid,Bayer Munich wawe hawapo kweny UEFA huwezi kubeba UEFA Kam tu nyumbani kwako tu unauwezo wa kuruhusu magoli zaidi ya matatu
Baada ya

Gundo kutoka

Kdb kutoka

Foden kutoka

Walker kutoka

Ndio mmepata huo upenyo wa kufunga hayo magoli ...pep kawaonea huruma kuwawekea kina Palmer watoto wa academy
 
Kipindi cha pili walau tumeonyesha uhai.
Kwa hizo goli 3 tulizozipata mbele ya city sio kitu cha kubeza hata kidogo.
Kwangu mimi hii game ya leo najihesabia sisi ni washindi ingawa point 3 zimeenda kwa city.
Goli la Anthony ndio goli bora kabisa kwa mwezi huu wa October.
Wanaombeza Anthony wana chuki zao binafsi inabidi wapuuzwe ingawa Anthony nae anapaswa pia abadilike kwa kufosi kufunga wakati kuna wachezaji wengine wapo kwenye position nzuri zaidi.
Huu ni wakati sasa wa Bruno Fernandez kuanzia Sub, jamaa kwa sasa amepoteza umakini na anapelekea kuigharimu sana timu kwa kupoteza kwake mipira mara kwa mara ingawa kuna baadhi ya mechi hua anatuokoa.

Haaland ni balaa kubwa tuliloletewa kwenye Epl na hatuna budi kukubaliana nalo.
Ten hag kuna kitu kakijenga, kimeonekana

Apewe muda zaidi
Kuna deadwoods nyingi sana inabidi aziondoe

6 sio nyingi sana
 
Back
Top Bottom