X-Agent
JF-Expert Member
- Jul 18, 2014
- 8,734
- 16,391
UpupuWith Man U you'r always happy
UpupuWith Man U you'r always happy
Dah! kumbe Mzee yupo very sad aisee.
Niamin ,Ten hagg Ni kocha wakawaida Sana, hamkuti hata oleKocha la Mpira ETH kwny first press alipoulizwa anazungumziaje ubora wa Liverpool na Man City na ana mpango gani kukabiliana nao,
Alijibu
"WE SHALL BATTLE THEM ALL" 💪🏾💪🏾.
Kauli ya kiume sana hii, na tushaanza shughuli.
Morale ikiwa juu hata mambo yanayoonekana kutowezekana huwa yanawezekana.
Sema tulimiss sana timu la mpira, hatujawa uwanjani muda mrefu.
GGMU 💪🏾💪🏾
Ananiudhi mm tabia yake hiyo sema basi tu.Rashford kazi yake kutema mate tu
Last season wachezaji walimuangusha ole lakini Msela alikuwa anamuwezea Sana tu kipara.Hata Ole alikuwa hachez hivi
Kwann hampend kufanya analysis ya game zenu muujue Ukweli?Tukishinda game ya leo dhidi ya city, itakuwa ngumu kwa Chelsea na Tottenham kutufunga napia tutakua katika hali nzuri ya kiushindani msimu huu.
Hapa ndio unapoona tofauti ya Man United na Arse

hua mna excuse hata mkitiwa kidole na bado mtasifia juu na hamtaki timu, machezaji au kocha akosolewe.
Ole aliangushwa na Bodi kumuingilia kumletea Ronaldo,Last season wachezaji walimuangusha ole lakini Msela alikuwa anamuwezea Sana tu kipara.
Umebakiza Goal 1 tu utabir wako utimie nabiiHALAAND HAT TRICK![]()


Hapa ndio unapoona tofauti ya Man United na Arse
Mashabiki wa United hua hatusapoti upumbavu pale timu inapozingua, iwe kazingua mchezaji, kocha au mmiliki hua tunawachana live na tunaonyesha reactions.
Nyie Arsehua mna excuse hata mkitiwa kidole na bado mtasifia juu na hamtaki timu, machezaji au kocha akosolewe.






Kweli tungejiuliza mmeshindaje.Kesho pia mtajiuliza tumeshindaje.

na babu Eriksen.Shida ni kwamba bado una maumivu ya kupasuliwaAnthony mmepigwa
Mech dhidi ya arsenal ilitosha kuhitomisha Anthony Ni garasa
Mara 100 Elanga akibadirishwa vitu vichache ana impact ,sio Huyo mcheza na jukwaa







Utabir wako na ww umebakiza Goal 3 tu uwe nabiiMan city jinsi anavyotufukuza, anaweza akaharibu TITLE CONTENDER
Tatizo nyie wapuuzi mnakelele sana
Bora mfe tu, man city nitamshughulikia mwenyewe
City 7 vs nyumbu 0


Kama kawaida ya binadamu cha kale dhahabu, nyie c mlikuwa mnamtukana Ole kila siku humu?Ole aliangushwa na Bodi kumuingilia kumletea Ronaldo,
Na pia ratiba ya man u haikuwa nzuri,
Ila ole aliwawezea vijana kuwa develop hapo man u
Ole Ndiye alikuwa anacheza ile Kaunta halis ya man u , alikutana na timu ndogo atazimiliki bila shida, big teams atazipiga kaunta
Sidhan Kama Kuna Kocha ana rekod Bora kwa Pep Kama Ole