Kitoabu
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 11,083
- 12,325
Kumbe akili unazo enheeMpira una matokeo matatu
Man u, wame deserve kupata points 3.
Big up red devil
#COYG
Kumbe akili unazo enheeMpira una matokeo matatu
Man u, wame deserve kupata points 3.
Big up red devil
#COYG





Goli ninla beki namba tatu. Alizidiwa. Baadaye baada ya kiungo kutulia na Eriksen kwenda kutoa msaada gemu ikawa imeisha. Upande uliokuwa unavuja ni uleule wa beki namba tatu.mle ndani watu wanajitoa sana Martinez anaokoa mpira hadi anavunja pumbu wachezaji wana spirt sana malacia ndio hatak kupitwa kabisa sema Rapher varane bado hajatulia Goli la kwanza mpira kapolwa miguni mwake ila madogo wa Aresnal Sambi lokonga na odergard Kuna time walijitawala kabisa badaa ya kuingia Fred tu vijana wakapotea ikabidi arteta afanye Sabu Erik ten hag akikaa united misimu miwili tu atawatesa sana
Tunawakanda Tena ,ushindi wenu wa ujanja ujanja halafu mnapaki basi leo MWISHO
Baada ya game kuisha saiv utakuwa umelala..Nyie Kenge tukutane dakika 90
Misumali minne ya moto hapo hapo ukweni
Kama waarabu tunagongea ukweni na ni fresh
Na usionekane humu mbuzi weweee😂😂😂😂Nyumbu asipokufa hii game siingii humu JF miezi mitatu....
Hapana ile foul ni muhimu, asingecheza kulikua na posibility ya 1v1 baina ya varane na forward wa Arsenal.Magwaya amecheza mipira miwili yote yangeweza kuwa magoli. Ile faulo na ile penalty refa angefunika gemu ingebadilika kabisaa.
Dikson Job, Inonga, Bangala, wanamzidi Magwaya mara kumi.
No wakati sasa Man U kumsajili mtu mwenye akili timamu kama Tapsoba yule anayechezea Bundesliga
MbwaaaaaaNyumbu mkishinda Leo mniite mbwa nimekaa pale![]()
Akipewa na wachezaji sahihi kwake.mle ndani watu wanajitoa sana Martinez anaokoa mpira hadi anavunja pumbu wachezaji wana spirt sana malacia ndio hatak kupitwa kabisa sema Rapher varane bado hajatulia Goli la kwanza mpira kapolwa miguni mwake ila madogo wa Aresnal Sambi lokonga na odergard Kuna time walijitawala kabisa badaa ya kuingia Fred tu vijana wakapotea ikabidi arteta afanye Sabu Erik ten hag akikaa united misimu miwili tu atawatesa sana
Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app