Pool Table
JF-Expert Member
- Jan 30, 2020
- 1,680
- 2,893
Ndo limeisha patikana tayariLeo hampati goli hata la offside
Saka kamtunza mfukoni dogo, lakini pia Man utd tunatatizo la kukabia macho hapo nyuma.Malacia kapotea vibaya
Rashford atoke aingie ronaldoRashford ni mzembe sana,hawezi hata kupambana ili kupata mpira
Halafu nini kimetokeaMalacia kapotea vibaya
Kwani ulikuwa hujui?Antony mtu wakuu