Mbabani
JF-Expert Member
- Jun 20, 2022
- 2,398
- 6,828
Mwanetu mwachie Yoan Gabriel amalizie kiporo.Sema jamaa anajitahidi saana wampe tu hiyo kazi kabisa alafu soon anafikisha 10K followers
Mwanetu mwachie Yoan Gabriel amalizie kiporo.Sema jamaa anajitahidi saana wampe tu hiyo kazi kabisa alafu soon anafikisha 10K followers
Mbwa wewe umekaa paleeYani nyumbu kushinda kote kule mpo nafasi ya 5![]()


Unahitaji kuwa kauzu sana kuandika uliyoyaandika,mpira ilifika kipindi possesion ilisoma 15% kwa 85% then unakuja kusema alifunika kiungo cha arsenal duh....una moyoMda mwingine Dm lazima uwe na roho mbaya ,,,,!! Mzee wa kazi chafu, sio Mambo ya urembo !!!
Huyu unaemuita ana rafu za kipuuzi ndo kawakalisha sambi na Granit wakapoteana !!! Jana martinel na saka ndo walikuwa na uhai tu,,, wengine wote Deadwoods, hata Jesus hakua clinical, anahitaji nafasi nane apate moja !


Umeongea kitu huy jamaa si raia wa Burkina Faso alikiwasha kweli kweny Africon alikua ancheza pacha na yule beki wa berkaneMagwaya amecheza mipira miwili yote yangeweza kuwa magoli. Ile faulo na ile penalty refa angefunika gemu ingebadilika kabisaa.
Dikson Job, Inonga, Bangala, wanamzidi Magwaya mara kumi.
No wakati sasa Man U kumsajili mtu mwenye akili timamu kama Tapsoba yule anayechezea Bundesliga
Sajili zijazo ni kureinforce kiungo na forward.Ericksen vitu anavyofanya ndivyo paul pogba alitakiwa kufanya kaungana vizur sana na bruno pasi zote zilizozaa magoli chanzo huyo jamaa watahitaji kupata mtu wa namna hiyo kwa sababu umri wake umekwenda
Kiungo cha United kilitakiwa kuwa hivi chini ya huyo kocha mpya endapo angefanikiwa kwa na de jong
De jong
Ericksen
Bruno
Hapo timu ingekuwa na ubora wa kutosha
Source?Glazers wapo tayari kuiuza timu kwa dau la £3.75B. Emeirates wa Dubai wapo tayari ku-takeover.
huwezi hamini mechi 2 za mwanzo tulikuwa nafasi ya 20Dah namna tulivyoanza ligi sikuwaza inaweza baki point tatu kuwa kileleni.

Hamna soka la bure. Na hakuna tajiri ana invest pesa zake for nothing. HayupoUzuri wa waarabu hawana pesa za mawazo sababu mpira kwao ni burudani nasio Biashara Kama mitajiri mingi ya kizungu.
Ndio Hilo ckatai lakin matajiri wa kiarabu Ni tofauti nawakizungu, mfano mzuri nikwamahasimu wetu wa liverpool. Hivi hao matajiri na wamiliki wa liverpool huoni upumbavu walioufanya kumwachia Sergio mane kisa anademand kuongezewa mshahara.Hamna soka la bure. Na hakuna tajiri ana invest pesa zake for nothing. Hayupo