Nilishasema, usiku wa deni haukawii nyie nyumbu.. mkae mkijua leo lazima niwale kichwa!




Dah! Mkuu kumbe hauko Tech tu na humu unapigakwangu mimi MOTM ni ni Eriksen, goli zote 3 ametengeneza yeye akitoa mpira kwenye wakati mgumu na kupeleka mbele, anafanya kazi ya Bruno na Attacker wengine kuwa rahisi sana.



Ndivyo inatakiwa.Mc tominay amecheza vizuri sana leo sijui sababu ya ushindani anaogopa bench.
Yah man jamaa hayupo midomon mwa watu ila anaupiga mwingi sana
Anton aache kucheza na jukwaa