Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Acha nimuachie tu kocha points zake maana yeye ndiyo anakaa na hiki kikosi mazoezini.

Ila Rashford hayupo clinical akikaa kama CF. Huyo McTominay lazima kuna kitu Casemiro hafanyi vizuri maana kama suala ni ku-settle Anthony kaingia moja kwa moja First XI.
Nadhani amehofu kuanzisha mid ya Casemiro na Erick sababu ya pace na energy
 
Ukocha ni kaxi ngumu sana, leo Rodgers anatukanwa na mashabiki uwanjani livelive wakati alikuwa ni kipenzi chao kwa muda mrefu, mara nyingi hata kama tatizo ni wachezaji machoka hubeba mzigo (ref Man Utd).
Misimu iliyopita mda kama huu Leicester city walikuwa wanachezea kwenye top 4 tu lakini msimu huu wako chini kabisa 1 point out of 6 games very sad.
 
Kuhusu Casemiro kutoanza EtH kasema ni kwasababu bado anampa muda Casemiro kujua style ya uchezaji ya kocha EtH. Antony kuingia direct kikosi cha kwanza ni kwasababu anajua jinsi gani EtH anataka timu yake icheze.

Lakini pia akaongezea kuwa Scott McTominay anaanza kwasababu anacheza vizuri.
 
Nyie Kenge tukutane dakika 90

Misumali minne ya moto hapo hapo ukweni
Kama waarabu tunagongea ukweni na ni fresh
 
Kazi iishe kabla ya half time! Tusiposhinda mapema tutapoteza pointi leo
 
Back
Top Bottom