Flano
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,875
- 16,442
Kupiga walemavu goli 6 ni kujitafutia laana tu, hio michezo wamezoea kina liverfool wajaa laana wasio na utu.Tumecheza hovyo sana leo kule mbele..
Leicester ilibidi wafe kama sita bila hivi..
Goli nyingi sisi tunaenda kupiga jumapili kwa zile mbuzi zilizokaza fuvu la kichwa kwa mechi 5 tu nyepesi za mwanzo wa ligi.