Kusema hivyo haimanishi kuwa hahitaji wachezaji.Kocha mwenyewe anavyosema kikosi kina massive talents anakuwa ana maanisha nini?.
Wakipewa za uso ndo wanaanza kusema ukweli.
Unamlaumu nini Ten Hag na usajili wa DeJong ?Timu nzima inayohusika na usajili, lakini kwa haraka nitaanza na ETH maana inaonesha amekomaa sana na Frankie na hana option B katika hiyo nafasi, hilo ni tatizo kwake kama kocha. Ni vipi huyo Frankie akiendelea kugoma kuja kama inavyodaiwa?
Kumbe we mzembe ni shabiki wa mwantesa united.Hichi ndo kikosi kilicho safiri leo kwenda Bangkok ndugu yenu mnae mkomalia naona hayupo.
Kuhusu jones kutokuwepo nadhani mnaelewa ile ni deep state ya Manchester united.View attachment 2284662
Kocha alishasema lakini mpaka tuwe na timu ya ushindani ni misimu miwili nakuendelea.
Kwaiyo fans tuwe na utulivu tu.
Unamlaumu nini Ten Hag na usajili wa DeJong ?
Kwani Man united imeanza leo kukamilisha usajili wa mchezaji mmoja kwa miezi kadhaa ?
Unamlaumu vipi Ten Hag kwa wachezaji kucheza hovyo chini ya makocha watatu huku makosa yakiwa ni yale yale ?
Tatizo siyo Ten Hag ameshadeliver katika vilabu vyenye limited budget na alikuwa akipata wachezaji anaowahitaji kwa wakati kuliko hapa United.
Alafu huyo de jong kasema kama ataondoka Barca team atayoenda ni ChelseaKama umenisoma vizuri,nimemlaumu kwakuwa inaonekana chaguo lake ni Frankie pekee na anaonekana hana plan B kama akimkosa Frankie.
Hayo matatizo mengine yanafahamika ni ya timu nzima.
Inasikitisha sana.
crapRashford katupia ngap
HUYU Kocha wenu atafeli MBELENI, project yake haieleweki inataka nnmnasema rebuilding inahitaji muda na kocha anataka wachezaji sahihi sa huu usajili wa marko aunotovic vipi
AgreedHUYU Kocha wenu atafeli MBELENI, project yake haieleweki inataka nn
Nadhan presha iliyopo man u Ni kubwa Sana nadhan kuliko timu zote EPL
Anataka short terms kwa faster ,hao wazee watamsaidia mech 2 au 3 ,
Atafute damu changa ,wazoeane , Kuna kina Sesko, Ivan Toney,
allypipi muache tu, mtu wa watu Hana matusi, atakuja kwenye nyuzi zetu. ,Atakukera ,ata like ataondokaKumbe we mzembe ni shabiki wa mwantesa united.
Usiwe unakuja kule darajani kutuletea ghasia zako.
Pambana na Hali Yako humu mzee kipipi
Hahaha sawa Chali angu nitajitaidi niandike vizuri.Munaliwa
Munashinda.
Acha kuongea kiree mtoto wa chuga. Unandika kama lisukuma lichafu la kolomije huko.
Sema Mnaliwa, Mnashinda. Pumbaaaaaf