Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Nashindwa kuvivaa viatu vyenu

Binafsi sita wakejeli wala kuwakashifu, mnahitaji zaidi faraja.
Ni bora mje kule the gunner kututukana coz unajulikana ni utani tu

Tuwe waungwana kwa washabiki wa vilabu vyote MANCHESTER UNITED anahitaji faraja na ukarimu katika kipindi hiki kigumu.
Screenshot_20220807-183111.jpg
 
Nashindwa kuvivaa viatu vyenu

Binafsi sita wakejeli wala kuwakashifu, mnahitaji zaidi faraja.
Ni bora mje kule the gunner kututukana coz unajulikana ni utani tu

Tuwe waungwana kwa washabiki wa vilabu vyote MANCHESTER UNITED anahitaji faraja na ukarimu katika kipindi hiki kigumu. View attachment 2317309
Hiyo game ya Liverpool wanaenda kupanuliwa mpaka makalio yatachanika
 
Pre season ilikuwaje ..mbona mulikuwa munashinda.
Munaliwa kimasikhara Yani kiboya boya tu munapakuliwa🤣🤣🤣🤣

Manjestaa Ni Mandonga aliyechangamka ..mikwara mingi prisezon alafu kwenye ligi kirahissi munaliwa za uso madogo🤣🤣🤣
 
Leo asubuhi na mapema nimeamka zangu kwenda kufanya mazoezi navyozidi kutembea nikawa nasikia kama kelele hivi.

Jinsi navyozidi kusogea nazo zile sauti nazo zilikuwa zina zidi kuwa kubwa maskioni mwangu nikaanza kupata hofu kwamba kuna nini mapema yote hii hata akuja kucha vizuri watu wanalia

Nika bahatika kumuona mzee mmoja hivi analia sana yule mzee nikafika pale nikamuuliza mzee wangu pole kwanza, nataka nataka nijue unalia nini mzee wangu sikuamini jibu alilonipa yule mzee kwamba furahani kubwa pale mtahani mpaka watu wanalia kilio cha furaha.

Ooh ni ilo tu mzee sasa furaha ya nini iyo mzee wangu akanambia kijana we acha tu ile kitu inayo tupaga burudani kila wiki imeludi kwaiyo hapa tunalia vilio vya furaha kijana.

Bado sikukoshwa na lile jibu alilonipa nikamwambia mzee funguka basi Wat's wrong alicho ni jibu sasa.

Manchester united inacheza leo na dunia nzima ina furaha

prediction

Manchester united 2 Brighton 1

time:10:00 View attachment 2316667
Mambo yamegeuka.... Disco limeingia masai na sime
 
ETH haondoki kirahisi hivyo.

Matatizo ya United yapo kwenye management.

Kama unashindwa kuuza wachezaji unategemea kocha afanye nini.?

RR alisema tunahitaji kufanya open heart surgery kwenye usajili.

Leo tunaanza msimu hatujagusa maeneo muhimu. Miezi mitatu tunahusishwa na mchezaji mmoja tu.
Hakika Jombaa niliwahi kusema ni lazima bodi ikubali kula hasara ndani ya hii misimu miwili kuna wchezaji wengine sana wanapaswa kuondoka.
 
Back
Top Bottom