Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 25,012
- 56,294
Bishoo
Kuwa kwenye utambulisho wa jezi haihusiani na kuondoka, bado ana mkataba na United wana haki zote juu yake.Ronaldo kuwa kwenye utambulisho wa jersey ya next season imekaaje wakuu ? Means bado tunae au!!!
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Most Premier League POTM awards
Most Man United POTM awards
Man United’s Player of the Year
️ Man United’s top scorer
️ Man United’s Goal of the Season
Included in Premier League Team of the Year


Magwaya anaenda kutumia hizi kola kuwapiga roba kina Ronaldo ...maana akiwa anadefend anaruka sarakasi na kukaba shiko Kama mieleka ...unakumbu like Buti la mawashigeli alilompiga Pogba mpaka damu zikatoka ,eti Yuko anadefendNi kali kushinda yale majezi yenu kama maneti ya malaria ya msaada.

Mimi Wananiuzi Wakati Huyo De Jong Mwenyewe Inaonesha Hana Mapenz Na United.Aiseee! Kuna sababu kwanini City na Liverpool wametuacha mbali sana.
Ukiona hivyo ujue kocha anamtaka de jong na sio Tielemans.Tetesi Za Usajili Kati Ya Barcelona Na Man United Kuhusiana Na Frenkie De Jong Zinaboaa Muafaka Haufikiwi Tu?!, Kwani Tielemans Hawamuoni Izo Hela Wanazomuwekea De Jong Sidhani Kama Leicester Watazikataa Kwa Tielemans.
Sasa Huyo De Jong Hana Mapenzi Na United.Ukiona hivyo ujue kocha anamtaka de jong na sio Tielemans.
Hizo picha upigwa muda mrefu tu mzee kuondoka hakuna mausiano na picha.Ronaldo kuwa kwenye utambulisho wa jersey ya next season imekaaje wakuu ? Means bado tunae au!!!
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Jumla ya mabao ya Man United msimu uliopita - 121
Jumla ya mabao ya Man United msimu huu - 71 
Bruno Fernandes msimu huu - mabao 9
Marcus Rashford msimu huu - mabao 5
Cavani msimu huu - mabao 2
Man United msimu huu - Nje ya UCL Msimu uliopita Manchester United ilicheza kama timu na kila mchezaji alikuwa na jukumu muhimu.
Mashabiki wa Ronaldo wangesema kwamba Ronaldo anapenda changamoto na ndiyo maana anabadilisha ligi lakini changamoto ya kweli inapokuja, anakimbia. Alikimbia kutoka Juve kwenda Man Utd baada ya kuwapeleka karibu Europa, karibu kuikimbia Man Utd sasa kwa sababu walianguka kwenye Ligi ya Europa.
Kuna mwaka Everton walikuja Bongo wakalishwa vitumbua na chai ya rangi kama kifungua kinywa.Kwanini timu za ulaya haziji Africa kufanya pre season.
Nini tatizo Ukata, au miundombinu mbona South Africa, Algeria, Egypt zipo vizuri, hakuna cha ukata timu zikija zinajaza kweli na mzuka juu tena kuliko huko Asia.
Mkuu Afrika tuko 1.2B sema umasikini ndio kikwazo kwenye hili.Man Utd 2012 Tour yao ilikuwa ni South Africa. Wanakuja ila si sana Compare na Asia.
Dunia ina watu Bilioni 7 na Bilioni 4.5 wapo Asia.
Well... Such a good and important explanation about this deal. Now I know why there's a delayed response about this saga.Man United and Barcelona have agreed to a €65 million fixed fee plus €20 million in add-ons for Frenkie de Jong moving to Man United this summer.
But despite the agreement between both the clubs, the move is yet to be finalized and here's why :
1. De Jong wants to leave Barca as he's been told by Xavi he is not starting ahead of Busquets and both Pedri & Gavi are preferred in central midfield over the Dutchman.
2. Frenkie de Jong can't come out and say he wants to leave Barca for Man United because he is entitled to a €20 million loyalty bonus. If he forces the transfer, he will lose the loyalty bonus whereas if Barca forces him out, they will owe him a sum of €20 million in loyalty bonus which is the reason Barca President Joan Laporta is coming out in the press again and again saying the club is not forcing De Jong to leave, instead they wanna keep him at the club.
3. In 2019-20 season Barca were hit by economic problems and they had to give a pay cut on deferred terms to all their players. Frenkie de Jong took a deferred pay cut by 70% for three seasons and Barca owe him around €19 million in deferred salary. Frenkie de Jong and his agent want the deferred salary to be paid before he agrees personal terms with Man United. Barca do not have the money to pay him as of now.
4. Frenkie de Jong will not be a Barca player next season, even if Barca want they can not retain his place in the squad due to financial reasons. As per de Jong's contract his salary will increase every season by €50k/week and he is also entitled to an annual bonus of €5 million which means if he was to stay at Barca he will earn €400k/week and also recieve €19 million in deferred salary plus €20 million loyalty bonus plus €5 million annual bonus which equals to a whopping €62.3 million which Barca will have to spend on him next season and the club can not afford it, there is a possibility of Barca declaring bankruptcy if de Jong stays at Barca.
4. Manchester United are clam about the situation, they do not want to rush and overpay for this deal. Erik ten Hag speaks with Frenkie de Jong every day, the player is excited and ready to reunite with ten Hag but can't openly admit it due to the reasons mentioned above. Man United are confident the deal will happen but it can take a few more days.
5. Barca will activate the second economic levers on 12th of July by selling 49% of their Merchandise and Licensing rights to American company Fanatics through which they will receive €400 million to balance their accounts and use 20% of that capital to pay deferred salaries of the players. Frenkie de Jong is waiting for Barca to pay his deferred salary after which he will discuss personal terms with Man United and the deal will be completed.
6. Frenkie de Jong will be a Manchester United player next season, there's an agreement between both Man United and Barca, it's just a matter of time before Barca pay what they owe to De Jong and the deal advances.
NOTE - BARCELONA DO NOT HAVE ANY OTHER OPTION BUT TO SELL DE JONG. HE IS THEIR HIGHEST PAID PLAYER AND THE CLUB WILL HAVE TO SPEND €63 MILLION ON HIM NEXT SEASON IF THEY WISH TO KEEP HIM WHICH IS NOT POSSIBLE AS PER THEIR BALANCE BOOKS.
#MUFC #FCB
The Athletic
Pia walikutana na folen ya hatari ,Rooney alilalamika Sana, fikiria folen za tazara zile, Africa miundombinu Sifuri, Timu za ulaya zinapenda kuja huku, tatizo hatujajipangaKuna mwaka Everton walikuja Bongo wakalishwa vitumbua na chai ya rangi kama kifungua kinywa.