Darmian
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 17,300
- 46,749
McTominay mchezaji ambaye hapati namba kwenye kiungo cha Scotland leo hii unampanga at the middle of the park of Manchester United team kwenye EPL..hatupo serious kabisa.
Naskia saivi tunamtaka Mark Arnatovic..naskia kashafanya kazi na EtH huko Udachi..naona tunaenda kuwa Ten Hag affiliates FC..
Wenzetu wanasajili kina Haaland,Nunez,na kina Alvarez sisi tunapambana na kizee kilichotoka kucheza ligi ya Uchina..si ni Ighalo tu in the making hapa?
EtH,Arnold na Mortough wanafeli sana.

, !!!!