Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Matumizi ya timu za Ulaya tangu 2012
Manchester city wanaweza wakahalalisha, Liverpool hawako hata 10 bora
Poor Manure, ununuzi kama kipofu, Magwaya mil 80, bora Sarr wa Chelsea

1. Manchester United - 1.075B
2. Manchester City - 984M
3. PSG - 941M
4. Barcelona - 650M
5. Arsenal - 583M
6. Juventus - 561M
7. AC Milan - 432M
8. Everton - 429M
9. Aston Villa- 424M
10. Chelsea - 413M
Braza lembua acha unafiki.

We si umesema Sarr ni sawa na Maguire mbona hapa unasema Sarr > Maguire?
 
Leo tutachapika nyingi tu tena za kutosha haswaas, ila haina maana kichapo cha leo ndio kitawapa advantage yoyote Arsenal kutufunga jumamosi.
Kwanza na nyinyi kesho mnachezea nyingi tu, na pia Man United hata ikiwa mbovu vipi hua haikubali kufungwa kizembe na Arsenal ni bora ifungwe na timu zote za ligi ila sio nyinyi misukule ya Arteta.
Arsenal kashinda kaka, tena cap hahaha mpira hauendi hivi mkuu
 
Ngoja nifafanue vizuri nilichomaanisha. Kabla hujaleta wachezaji wapya unahitaji kusafisha nyumba kwanza. Kikosi chetu sio rahisi kumudu kuleta wachezaji zaidi ya watano wenye ngazi ya juu bila kupunguza kwanza, asilimia kubwa ya wachezaji wetu hawauziki wana mikataba yenye gharama sana (mshahara mkubwa + miaka mingi). Swali la msingi hapa, je hawa vilaza tulionao tunawapeleka wapi? Ili tulete watu wengi wapya.

Usifikiri nina imani na wachezaji tulionao hapana bali tuna mtizamo sawa kabisa ila nilikuwa najaribu kuwa realistic. Kwa timu yetu tuna wage bill kubwa sana huwezi kuingiza maingizo mapya mengi bila kupunguza watu.


Soma hapa chief, ulaya sio bongo watu washakubali hasara..

https://twitter.com/FabrizioRomano?...49186.ampproject.net/2203281422000/frame.html
Ralf Rangnick confirms plans of Man United revolution in the summer: “There will be a rebuild here. Six, seven, maybe TEN new players will come”. Fabrizio Romano
 
Kwa suala la LvG naweza kusema ni uingizaji wa falsafa zake ndani ya timu ndio ilikuwa shida na hii ilihitaji muda zaidi pamoja na machaguo yake namba moja kama ulivyosema hapo.

Kwa mou nadhani aliangushwa na wale watu wa UNITED DNA and THE FERGIE WAY ingawa pia huwezi kuacha ukweli kwamba klabu ilianza kujiendesha kibiashara zaidi kwa kuwategemea wachezaji wenye mvuto kibiashara,hivyo locker room ikawa ngumu kwake.

Kati ya wote waliopita,nadhani mtu sahihi zaidi alikuwa LvG kama angepewa muda na vitendea kazi sahihi.
pretty bfg I ko 4546inches 777
 
Tunahitaji wachezaji wapya wasiopungua kumi.
Tunahitaji kuondosha wachezaji wasiopungua kumi na mbili
1. Pogba
2. Rashfold
3. Jonas
4. Matic
5. Mangure
6. Dalot
7. Bisanka
8. Bailey
9. Lindgard
10. Mata
11.Cavan
12. Ronaldo
RR kashasema tutegemee usajili wa wachezaji si chini ya 10 plus kadhaa kutoka academy, kina Garnacho, Mcneill, Ennis n.k
 
huo ni mchakato si kwamba ni jambo la kukamilishwa ndani ya dirisha moja.
Hakuna mchakato, wachezaji wanasubiri kocha mpya akirudi kama anamhitaji atabaki hayupo kwenye mipango ni kuondoka.. moja kati ya mambo ambayo ETH aliomba awe na maamuzi nayo.. kwahiyo hayo mambo ya mchakato sahau tena chief
 
Back
Top Bottom