Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Joh Doe nadhani tumeshabihiana mitizamo na RR kuhusu rebuild labda kama hii MORE alimaanisha kwa misimu zaidi ya mmoja.
Na kuna mahala pia nimeona akisema hakuna ulazima wa kusubiri misimu 3 au zaidi ili kuwa title contenders bali inaweza kufanyika ndani ya misimu 2 pekee.
Huyu ni Ralf Rangnick
Ngoja nifafanue vizuri nilichomaanisha. Kabla hujaleta wachezaji wapya unahitaji kusafisha nyumba kwanza. Kikosi chetu sio rahisi kumudu kuleta wachezaji zaidi ya watano wenye ngazi ya juu bila kupunguza kwanza, asilimia kubwa ya wachezaji wetu hawauziki wana mikataba yenye gharama sana (mshahara mkubwa + miaka mingi). Swali la msingi hapa, je hawa vilaza tulionao tunawapeleka wapi? Ili tulete watu wengi wapya.

Usifikiri nina imani na wachezaji tulionao hapana bali tuna mtizamo sawa kabisa ila nilikuwa najaribu kuwa realistic. Kwa timu yetu tuna wage bill kubwa sana huwezi kuingiza maingizo mapya mengi bila kupunguza watu.
 
Kila dakika 10 inakua na goli lake,
Mpaka mpira unaisha dakika 90 tunakua tushagongwa goli 9.
Liverpool wanopocheza na wafiwa basi wawe japo na utu kidogo.
Yaani tupo na huzuni ya msiba halafu wanatuongezea msiba mwingine huo sio ubinaadamu kabisa.
 
Sasa mbona ulikua na matumaini hewa kwamba tunashinda, ili timu yako iweke mazingira mazuri ya ubingwa, pole mkuu, maombi yamekuja time mbaya. Tuko kwenye stage ambayo hata maombi hayatasaidia.
Alikuwa anaota
Atulie,,tunaenda kumng'oa kipara wake
 
Haitakuwa na maana ikiwa tuna Wachezaji wale wale waliofukuzisha makocha wawili kazi.

Nafikiri washaona wanaweza kumfukuzisha kocha kazi ndio wanaleta uq*ma.

Ten Haag ili afanikiwe inabidi atimue matakataka ya kiingereza pamoja na mastaa watoa sumu.

Plus awe na Say juu ya wachezaji.
 
Huyu kocha wetu nae ni wa michongo tu, kikosi chake jinsi anavyokipanga hua napata mashaka kama kweli ana leseni ya kufundisha ligi daraja la kwanza.
Kocha lina mineno mingi halafu uwanjani hamna kitu, yaani akili zake na Maguire kama vile zinataka kufanana.
 
Wahuni walipumzika watakuja kuweka kambi humu itakuwa fujo kama jukwaa la Asenyetoh .
 
Back
Top Bottom