Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

tunalaumu makocha ila hii timu ina shida kwenye uongozi kabla hata dili la ETH kuwa tayari wamemuongeza bruno mkataba nahpa kati wanataka kumpa shaw na mwengine mkataba usikute hata huyo kocha hajui
 
Akamatwe huyu atawehuka
Screenshot_20220420-022837_Twitter.jpg
 
Nakuambia kocha mpya mikataba wameshakubaliana na masharti makali ya ten hag, lakin ten hag anataka kuisoma upya kwa mara nyingine ndio aanguke asaini, na imechukua muda sababu kuna vipengele vya kipumbavu pumbavu vilikuepo ambavyo ndivyo hivyo vimeikost sana timu juu ya maamuzi na mengineyo katika kusaini wachezaji na vitu vingine, wamepambana naye wakiwemo genge la fergie na wamiliki lakin wapi kashikilia msimamo kua mnataka niwe kocha lazima mkubaliane au tukubaliane na masharti yangu,

Sasa.akishaanguka saini hao wanaojiita captain fantastic na wale wanaobadilisha stail na rangi za nywele kila uchwao watafute timu nyingine za kufanya upuuzi huo.
Make hapo kwanza ncheke
 
NGOJA NIWAJUZE
usione mchezaji anazingua alafu hakai bench
why ...mshara mkubwa unamlipaje mtuu asiefanya kazi
pia mikataba yao inasemaje

pia tatizo sio kocha man u ni timu ya biashara ndo sababu inawachezaji wenye
majina makubwa duniani na wenye mishara mikubwa pia

pia kunampasuko kati ya wachezaji pamoja na bench la ufundi na managment

soon man u tutakuwa kama caddif city
 
NGOJA NIWAJUZE
usione mchezaji anazingua alafu hakai bench
why ...mshara mkubwa unamlipaje mtuu asiefanya kazi
pia mikataba yao inasemaje

pia tatizo sio kocha man u ni timu ya biashara ndo sababu inawachezaji wenye
majina makubwa duniani na wenye mishara mikubwa pia

pia kunampasuko kati ya wachezaji pamoja na bench la ufundi na managment

soon man u tutakuwa kama caddif city
Hoja ya ukubwa wa mshahara ni ya uongo.

Bale anakaa bench Madrid
 
Kocha Atakayeweza Kuifanya Man United Kuwa Miongoni Mwa Timu Bora Tena Duniani Tutamuheshimu Sana.
Bila pesa mezani sahau kabisa Man Utd Kaka.

Pep aliikuta Man City ni BINGWA wa EPL na imetolewa UEFA champions league nusu fainali na Real Madrid lakini alinunua wachezaji wapya 9 japo hawakufanya vizuri ilibidi watimue kipa waliyemsajili, Nolito na wengine wawili (4 players).

Msimu wa pili Pep alimaliza akiwa nafasi ya 3 kimsimamo lakini alisajili tena wachezaji wapya 11 na kufanikiwa kuwa BINGWA wa EPL.

Msimu wa Pep ndani ya Man City alisajili tena wachezaji wapya 7 na kutetea ubingwa wa EPL.

Hadi 2021 Man City ndiyo timu pekee toka EPL iliyokuwa imetumia pesa nyingi sana kiusajili zaidi ya £ 900, tena ikihusishwa na kesi ya kutaka kushtakiwa na FIFA kwa matumizi mabaya sana kwa usajili ndipo Man City walikata rufaa na kushinda kesi.

Waarabu wana pesa na wanataka burudani si kama Wamarekani ambao wako kimaslahi zaidi bila kuangalia maumivu ya mashabiki kwa matokeo mabovu, ndiyomaana Man Utd, Liverpool na Arsenal inshu ya usajili inakuwaga inshu sana kuliko Man City na Chelsea.

Chelsea FC fan, naendelea kuzidisha maombi maana sijui Chelsea tukikosa wadhamini kama Abrahamovich tukaangukia pua kwa Wamarekani ndiyo tutakuwa Chelsea FC ya sasa kimafanikio au tutakuwa Hull City iliyochangamka tu
 
mpaka sasa timu zote zilizotufunga round ya kwanza ya ligi pia tumeshindwa kuzifunga round ya pili ya ligi. liverpool (6), man city (6), leicester city (4), watford (4) na aston villa (4). kwenye mabano ni points walizokusanya dhidi ya manchester united. tafsiri yake ni kwamba kwenye point 30 tumeambulia point 3.
 
Back
Top Bottom