Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kipigo cha aibu kwa mantesa united ndani ya mechi mbili kwenye msimu mmoja liver kashinda goli 9 tena kwa bila
Mantesa 0 vs 5 liverpool
Liverpool 4 vs 0 mantesa united
Binafsi nimevutiwa na uchezaji wa Mwantesa, wanacheza kwa umoja na mshikamano kitu ambacho kimewafanya wafungwe goli chache sana mpaka muda huu
 
Tunahitaji wachezaji wapya wasiopungua kumi.
Tunahitaji kuondosha wachezaji wasiopungua kumi na mbili
1. Pogba
2. Rashfold
3. Jonas
4. Matic
5. Mangure
6. Dalot
7. Bisanka
8. Bailey
9. Lindgard
10. Mata
11.Cavan
12. Ronaldo
Hii timu kama inawezekana ivunjwe yoteeee, waanze kusajili upya na management mpya na kocha mpya.
Hovyo kabisa
 
Back
Top Bottom