OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,933
- 25,245
Nyie matakataka tuwape batshywai na bakayoko waje kuwasaidia maana pale OT hawakosi namba kabisa.
Kwani ETH anakuja lini?
Mtamkumbuka tuKweli Mkuu Van Gaal Ndiye Aliyekuwa Kocha Sahihi Kwa Man United Kwa Makocha Wote Waliopita Baada Ya Fergie.

May 16Kwani ETH anakuja lini?
Aaah Yani Acha TuMtamkumbuka tu![]()
...Yule Alikuwa Kocha Mzuri Sana Basi Tu Tulileta Mapepe WenyeweI co-sign this.Murtough nae sidhani kama ni competent enough wa kupull better skills.
He should also leave.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ralph ameeleza hapo kuanzia 0:40 ~ 1:50.Rashford ndio sitaki hata kumuona, na naomba niulize Jana kwanini Jones alikuwa anapambana lkn walimtoa??
Kwan Arsenal kakufanyaje mkuu?Nyie matakataka tuwape batshywai na bakayoko waje kuwasaidia maana pale OT hawakosi namba kabisa.


umekula 4 na wajingaNyie matakataka tuwape batshywai na bakayoko waje kuwasaidia maana pale OT hawakosi namba kabisa.
unaamini watasajili 10 labda 6Abakie huko huko. RR kaahidi wachezaji wapya si chini ya 10. Waende tu tuanze na damu mpya.. team imeoza hii
Wameshika ukuta wao.. si unaitaka nafasi ya 4, tukutane jumamosi uwanja wa ndege Emirates.😆AsaniAli jumamosi tukutane Emirates baada ya kesho na nyinyi kushikishwa ukuta na Ze Blauz.