Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

He!
Mara hii mshaanza kumdharau mwalimu wa walimu?

Kunani pale?
Sasa wewe unategemea kwa utopolo wa Kupanga Maguire kila mechi na kuendeleza upuuzi wa Trashford tutaheshimu kocha.

Kama yeye ni kocha asingekua anapanga Maguire wakati maboko kila uchwao.

Hata akiwa Mshauri wa timu sioni cha maana ikiwa ukocha tu anashindwa kuwa mkali, si ushauri atakua yes man.
 
Kikubwa tunawashukuru Liverpool kwa kutuheshimisha japo wamekosa kabisa utu kwa wafiwa.
Mnaitesa United bado inaendelea kupambania nafasi ya 4.
AsaniAli jumamosi tukutane Emirates baada ya kesho na nyinyi kushikishwa ukuta na Ze Blauz.
 
kocha kasema kweli waanze kuwatoa maguire na rashford
Screenshot_20220420-003911_Twitter.jpg
 
Nachowapendea Man U muda wowote wanaweza kupindua meza, usishangae mechi zote zilizobaki wakafungwa zote 😁😁 hakuna kupoa 😂😂
 
Back
Top Bottom