Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Confirmed.
20220421_131442.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rejea comment ya huyu jamaa Interlacustrine R

Bila pesa mezani sahau kabisa Man Utd Kaka.

Pep aliikuta Man City ni BINGWA wa EPL na imetolewa UEFA champions league nusu fainali na Real Madrid lakini alinunua wachezaji wapya 9 japo hawakufanya vizuri ilibidi watimue kipa waliyemsajili, Nolito na wengine wawili (4 players).

Msimu wa pili Pep alimaliza akiwa nafasi ya 3 kimsimamo lakini alisajili tena wachezaji wapya 11 na kufanikiwa kuwa BINGWA wa EPL.

Msimu wa Pep ndani ya Man City alisajili tena wachezaji wapya 7 na kutetea ubingwa wa EPL.

Hadi 2021 Man City ndiyo timu pekee toka EPL iliyokuwa imetumia pesa nyingi sana kiusajili zaidi ya £ 900, tena ikihusishwa na kesi ya kutaka kushtakiwa na FIFA kwa matumizi mabaya sana kwa usajili ndipo Man City walikata rufaa na kushinda kesi.

Waarabu wana pesa na wanataka burudani si kama Wamarekani ambao wako kimaslahi zaidi bila kuangalia maumivu ya mashabiki kwa matokeo mabovu, ndiyomaana Man Utd, Liverpool na Arsenal inshu ya usajili inakuwaga inshu sana kuliko Man City na Chelsea.

Unapata picha gani? Mambo sio magumu kama unavoyaona mkuu
 
Sio Mitchell Van Der Gaag chief ambaye ni assistant wake huko ajax kwa mujibu wa Fabrizio Romano?
upo sahihi ila asistant wanakuwa wawili,
mmoja anahitajika yule mwenye uzoefu na manchester united.
wanaotajwa ni rene meulensteen, van persie, steve mcclaren na wengine wanamtaja jaap stam.
 
Ole akaamua kujenga kikosi.

Na kitu cha kwanza katika ujenzi wa kikosi kikawa ni kumnunua Maguire.

Kocha atakayefuatia kitu cha kwanza katika ujenzi wa kikosi kinatakiwa kua kumtimua Maguire.

Maguire anasema hachezi vibaya ndiyo maana makocha wote wawili (Ole Sendeka na Rangnickelodeon) wanampanga first eleven.

Rangnickelodeon anasema timu inahitaji wachezaji wapya 10.
 
Back
Top Bottom