Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Chengine mnachokisahau Ligi ya spain haina Ushindani hasa mwaka huu, ku recover kule ni rahisi kuliko ku recover Epl.

United inastrugle almost miaka 10 now,tatizo liko kwetu halihusiani na upinzani the day tukisolve matatizo yetu tutaelewa wapi tuliteleza .Spurs & Arsenal ni baadhi ya timu zime-improve sana msimu licha ya upinzani unaousema.

La Liga ambayo unasema imeshuka viwango still imeingiza timu 3 robo fainal kwenye UCL sawa na EPL
 
Mkuu unahisi Barca wangekuwa Epl wangekua Top 4? Challenge yao kubwa ni kumpita Sevilla. Wameweza ku bounce sababu hakuna Challenge pale juu, timu nyingi ni tia maji tia maji. Na huyo Nafasi ya Pili Sevilla ametolewa na West Ham, na Sisi japo Tumetolewa na Atletico Tumemfunga Villareal home na away.

Kuhusu Uefa La Liga waliingiza timu 5, 2 zimetoka tayari na Epl waliingiza 4 na 1 imetoka. Coefficient wise Epl Bado ipo juu compare na La liga. Na michuano yote kati ya timu 7 Epl 5 bado zipo, na kati ya 7 La liga 4 ndio zimebaki.

m22oykneu0o81.png

Swali la Kizushi bado unafikiri Ole alikuwa mbovu kukipa hichi kikosi nafasi 3 na ya 2?
 
View attachment 2159398

Kwa mtizamo wangu mimi Ole alikuwa ni kilaza tu mbali na kupata nafasi hizo ndani ya misimu 2
Kwanza hata Mourinho aliwahi kushika nafasi ya 2 na kikosi cha magumashi halafu pia akabeba vikombe kabisa
Van Gaal amewahi kubeba kikombe cha FA na kikosi kibovu na kichanga zaidi akiwa pale United.

Kama sikosei Ole ndio kocha aliyetumikia united kwa kipindi kirefu zaidi ya wenzake.
Pamoja na kumaliza msimu nafasi ya 2 na ya 3 msimu huu hadi anafukuzwa alikuwa nafasi ya 7 huko hivyo kwa kutokuwa na consistency inaonyesha alikuwa anapaa kwa kutegemea misimu mibovu kwa wapinzani wetu.
 
Mkuu,point yangu haihusiani na Barca kumaliza top 4,point ni kuwa wamegundua matatizo yao na wameanza kuyatatua ndani ya muda mfupi progress inaonekana wana bright future tofauti na sisi ambao tuna zaidi ya miaka 10 hatujui tunafanya nini,na pia hapa kwenye ushindani mkubwa nimekupa mfano Spurs,Arsenal kuna progress kubwa imeonekana

1.Wamefanikiwa kumpata kocha ambaye anafit kwenye culture yao na wamem-support so far ameanza ku-impliment jinsi wanavyocheza tayari wamerudi kwenye identity yao hii ndio point ya msingi

2.Walikuwa wana matatizo ya kifedha tayari wamefanikiwa kuanza kuyapunguza(Kuwaondoa Griezmann na Coutinho ambaye watamuuza end of season na wamepata deal na Spotify

3.Tayari wana foundation ya young talent Pedri,Gavi,Ferran Torres,Araujo,Dembele,Eric Garcia,Fati,De Jong so walikuwa wanahitaji kocha wa kuweza kuwa-develop.Wachezaji kama De Jong,Dembele walikuwa wameshapoteza confidence lakini within short time perfomance zao zimerudi ndani ya muda mfupi hata.

Back to OGS tayari alishafika mwisho licha ya Woodward kumvumilia naye akashindwa kuendelea nae,you cant compete na Pep & Klopp wewe una OGS.Ilikuwa ngumu kuendelea na kocha aliyefungwa na Watford 4-1 then Liverpool 5-0 tena Old Trafford
 
Hayo ya 4-1 na 5-0 yametokea juzi, hujamponda OGS sababu hio, ulikuwa unamponda toka tunamaliza nafasi ya 3 na 2.

Na yote unayosema Barca wamefanya Ole ameyafanya.

Aliondoa wenye mishahara mikubwa kina lukaku na Sanchez, akaondoa Wachezaji wa kawaida kina smalling na kusajili wachezaji wengi watoto na kupandisha watoto, kulikuwa na wakati kwenye Club yetu Tuna Martial, Rashford na Greenwood kama Front 3 yetu wote walikuwa under u23, Midfield tuna Mc tominay, Beki ya Shaw, Bissaka nao walikuwa bado wadogo, sina uhakika lindelof ila nae alikuwa yank, na henderson.

Na record ya Xavi sasa hivi haifikii hata Chembe record ya Ole kama Interim.

Arsenal wana Run nzuri ila its no where near ya kwetu tuliofanya 2 season Ago na pia msimu huu Bado, na hao spurs wamefanya nini? Mwezi uliopita tu wamefungwa mechi 3 out of 4, sisi wabovu ila wametupita point 1 tu, na ilikuwa wakishinda viporo watuache point nyingi.
 
Nyumbuzi mnavyojadiliana maswala ya soka kama mnaakili timamu hivi

Sasa akija pochetino ndio mtakua mmefanya nini??
Kama wachezaji ni wale wale, uongoz ni ule ule
Na wapiga midogo pundits wanasikilizwa

By the way nawaombea mabaya, ndio maana nataka kuona pochetino akitua pale
Alafu board ibaki vile vile
Bila ya kusahau, walisema Rangnick ni Bonge la Kocha. Amewafundisha Klop na Tuchel ukocha.

Leo hii mwalimu wa walimu hana tena uwezo wa kufundisha Man u?
 
Kwa mtizamo wangu mimi Ole alikuwa ni kilaza tu mbali na kupata nafasi hizo ndani ya misimu 2
Kwanza hata Mourinho aliwahi kushika nafasi ya 2 na kikosi cha magumashi halafu pia akabeba vikombe kabisa
Van Gaal amewahi kubeba kikombe cha FA na kikosi kibovu na kichanga zaidi akiwa pale United.

Kama sikosei Ole ndio kocha aliyetumikia united kwa kipindi kirefu zaidi ya wenzake.
Pamoja na kumaliza msimu nafasi ya 2 na ya 3 msimu huu hadi anafukuzwa alikuwa nafasi ya 7 huko hivyo kwa kutokuwa na consistency inaonyesha alikuwa anapaa kwa kutegemea misimu mibovu kwa wapinzani wetu.
Mou mwenyewe anakwambia kumaliza nafasi ya 2 na man U ni katika mafanikio yake makubwa kabisa,

Na LVG na Mou hawakuwa na vikosi vibovu bali vikosi ambavyo havina balance same to ole

-LVG alikuwa na Falcao, RVP, Rooney, Di maria, Bastian schweinsteiger, Daley Blind, Carick, Herrera, Mata etc on paper tulikuwa vizuri ila wengi alisajiliwa sio wachezaji aliotaka.

-Mou Alikuwa na Mkhitariyan, Zlatan, Pogba, Sanchez, Lukaku, Baily na wengineo

Wote walikuwa na wachezaji wazuri ila Bila balance, mfano vikosi Vyote hivyo vina mawinga wa kushoto kibao bila wa Kulia.

Then Kaja Ole same story, Mpaka anaondoka Hakujasajiliwa midfield hata mmoja, japo Timu yetu ilikuwa na Hitajio hilo.

Na ole aliletwa Kufanya Rebuild, ambayo aliifanya kikamilifu, katoa deadwoods, kasajili vijana wenye njaa etc. Toka fergie aondoke Hatujawahi kusajili mchezaji mwenye Impact kama Bruno Fernandez, kamrudisha Fred kwenye Kiwango, Mc tominay amekuwa Epl standard, Rashford Na Martial wakawa na Best season ever Chini yake, lindelof kiwango kikawa Bora zaidi, AWB na Hata Maguire waliperform vizuri. Shaw msimu uliopita by far alikuwa Best LB epl.

Then na Yeye Akasajiliwa na Kupangiwa Kikosi the rest is history.

Same players sasa hivi achana na nafasi ya 2 ya 4 tu tukiipata ni maajabu
 
Hayo ya 4-1 na 5-0 yametokea juzi, hujamponda OGS sababu hio, ulikuwa unamponda toka tunamaliza nafasi ya 3 na 2.

Na yote unayosema Barca wamefanya Ole ameyafanya.

Aliondoa wenye mishahara mikubwa kina lukaku na Sanchez, akaondoa Wachezaji wa kawaida kina smalling na kusajili wachezaji wengi watoto na kupandisha watoto, kulikuwa na wakati kwenye Club yetu Tuna Martial, Rashford na Greenwood kama Front 3 yetu wote walikuwa under u23, Midfield tuna Mc tominay, Beki ya Shaw, Bissaka nao walikuwa bado wadogo, sina uhakika lindelof ila nae alikuwa yank, na henderson.

Na record ya Xavi sasa hivi haifikii hata Chembe record ya Ole kama Interim.

Arsenal wana Run nzuri ila its no where near ya kwetu tuliofanya 2 season Ago na pia msimu huu Bado, na hao spurs wamefanya nini? Mwezi uliopita tu wamefungwa mechi 3 out of 4, sisi wabovu ila wametupita point 1 tu, na ilikuwa wakishinda viporo watuache point nyingi.
Ni OGS aliyewajili Bissaka na Maguire kwa 130m,ni yeye aliyewaongezea mikataba mikubwa kina Jones,Mata,Martial ,Shaw
Rekodi ya Xavi so far kwako kwako sio nzuri but Barca wana bright future kuliko United licha ya wao kuwa na matatizo makubwa.Where are Martial,Greenwod na Rashford?
 
Hawa nyumbu wanajisahau fasta utashangaa siku ya mechi wataanza kusema wao ni timu kubwa sana.
 
Mou mwenyewe anakwambia kumaliza nafasi ya 2 na man U ni katika mafanikio yake makubwa kabisa,

Na LVG na Mou hawakuwa na vikosi vibovu bali vikosi ambavyo havina balance same to ole

-LVG alikuwa na Falcao, RVP, Rooney, Di maria, Bastian schweinsteiger, Daley Blind, Carick, Herrera, Mata etc on paper tulikuwa vizuri ila wengi alisajiliwa sio wachezaji aliotaka.

-Mou Alikuwa na Mkhitariyan, Zlatan, Pogba, Sanchez, Lukaku, Baily na wengineo

Wote walikuwa na wachezaji wazuri ila Bila balance, mfano vikosi Vyote hivyo vina mawinga wa kushoto kibao bila wa Kulia.

Then Kaja Ole same story, Mpaka anaondoka Hakujasajiliwa midfield hata mmoja, japo Timu yetu ilikuwa na Hitajio hilo.

Na ole aliletwa Kufanya Rebuild, ambayo aliifanya kikamilifu, katoa deadwoods, kasajili vijana wenye njaa etc. Toka fergie aondoke Hatujawahi kusajili mchezaji mwenye Impact kama Bruno Fernandez, kamrudisha Fred kwenye Kiwango, Mc tominay amekuwa Epl standard, Rashford Na Martial wakawa na Best season ever Chini yake, lindelof kiwango kikawa Bora zaidi, AWB na Hata Maguire waliperform vizuri. Shaw msimu uliopita by far alikuwa Best LB epl.

Then na Yeye Akasajiliwa na Kupangiwa Kikosi the rest is history.

Same players sasa hivi achana na nafasi ya 2 ya 4 tu tukiipata ni maajabu
Kwa suala la LvG naweza kusema ni uingizaji wa falsafa zake ndani ya timu ndio ilikuwa shida na hii ilihitaji muda zaidi pamoja na machaguo yake namba moja kama ulivyosema hapo.

Kwa mou nadhani aliangushwa na wale watu wa UNITED DNA and THE FERGIE WAY ingawa pia huwezi kuacha ukweli kwamba klabu ilianza kujiendesha kibiashara zaidi kwa kuwategemea wachezaji wenye mvuto kibiashara,hivyo locker room ikawa ngumu kwake.

Kati ya wote waliopita,nadhani mtu sahihi zaidi alikuwa LvG kama angepewa muda na vitendea kazi sahihi.
 
Ni OGS aliyewajili Bissaka na Maguire kwa 130m,ni yeye aliyewaongezea mikataba mikubwa kina Jones,Mata,Martial ,Shaw
Rekodi ya Xavi so far kwako kwako sio nzuri but Barca wana bright future kuliko United licha ya wao kuwa na matatizo makubwa.Where are Martial,Greenwod na Rashford?
Bila kusahau alikuwa anakuja mbele ya media anasema ameridhika na kikosi chake wakati magepu ya kiungo wa kukaba yako wazi kabisa.
 
Ni OGS aliyewajili Bissaka na Maguire kwa 130m,ni yeye aliyewaongezea mikataba mikubwa kina Jones,Mata,Martial ,Shaw
Rekodi ya Xavi so far kwako kwako sio nzuri but Barca wana bright future kuliko United licha ya wao kuwa na matatizo makubwa.Where are Martial,Greenwod na Rashford?
Mkuu kocha wa timu haongezi wachezaji mikataba hio ni Kazi ya Bwana Matt Judge pale UTD. Na Hata Fee za wachezaji Kocha hahusiki yeye anatoa tu suggestion mchezaji anaemtaka.

Na AWB kwa mfumo tuliocheza Chini ya Ole alikuwa Key player, Even RR sasa hivi ameanza kumtumia Mechi zote anazocheza Lindelof AWB anaanza na Angalia Transfermarket Value yake bado ni kubwa. AwB ni Elite RB linapokuja suala la
1. Counter pressing, akiwa na mpira timu zinazopress ni rahisi kutoroka
2. Yupo vizuri 1vs1 kawatia mfukoni world class wingers kibao tu, just imagine Kesho unacheza na mbape una Amani kabisa sababu unajua AWB anamuweka mfuko wa shati.
3. Interception na Tackling one of the best duniani
4. Pia ana Speed kucover Counter wakati wa Corner na mipira mingine iliokufa.

Pia Maguire Hakuwa Mbaya hivi na Pep alikuwa anamtaka Maguire kuliko Dias, msimu uliopita ali second assist goli 11 akiwa kama CB,
 
Chief huwa nakushangaa sana,why kwenye kuwaondoa wenye mishahara mikubwa (umetaja Lukaku,Sanchez) huwa unampa sana credit OGS but kwenye kuwapa mishahara mikubwa kina Martial,Shaw,Jones,Mata unamlaumu Matt Judge.OGS hakuwataka Lukaku,Herrera,Sanchez ndio maaana waliondoka hao kina Martial yeye ndio alitaka waongezewe mikataba wakapewa.
Kwa mpira wa sasa Bissaka ni liability hana impact yeyote timu inavyoshambulia na kibaya zaidi tulimnunua 50m paundi ingekuwa 30-35 sawa na how one of the best fullback hata timu ya taifa hawamuiti? ,kumsajili Maguire kwa 80m ni kosa la kwanza na kosa la pili ni kuja kumpa U-Captain.Serious unazungumzia second assist ? I thought ungezungumzia they way anavyofanya makosa mengi kwenye defence
 
Martial ndio ole Amemtaka ila logic yangu si kwamba ole ndo ameagiza alipwe 200k kwa wiki hio si kazi yake.

Kama umewahi kufanya kazi hata ofisi ndogo utalewa Ninachoongea, supervisor wako ama mkuu wa kitengo anaweza kutoa report ukaachishwa kazi ama ukaongezewa mshahara ila hapangi yeye ni kiasi gani, Mabosi juu hio ni kazi yao, na kwa Man U ni Matt judge chini Ya Woodward.

Mkuu AWB ni Quality RB on its way, tatizo lenu nyie munapenda kuiga sababu kuna Mchezaji x mahala Fulani basi mnataka Awb awe kama Huyo X bila kuangalia Anacho add kwenye timu. Tunaweza kuwa na Attacking oriented RB na tukawa na AWB same squad. Nimeangalia Man U miaka mingi sana Nimemuangalia Mou miaka kibao na timu nyingi,

Nimemuona Fergie Akimpanga Fletcher, Owen Hargreaves, Smalling na Jones kama Beki wa Kulia na kumuweka Bench Rafaeli ama Neville, sababu ya Tactic ya mechi Kumkaba mtu fulani. Kutegemea na position Jones alipangwa hadi no 6 anatembea na Fellaini tu ama Park na Pirlo, Hargreaves na Messi etc wote hawa walifanya kazi yao kwa ufanisi mkubwa sana na hizo mechi zilikuwa muhimu (Tulibeba hadi UCL kwa hii strategy)

Nimeshamuona Mou madrid Pale anampanga Essien kama namba mbili, tena UCL arbeloa anasugua Benchi,

Kuna mechi ili kunulify mtu fulani Ama Threat fulani you need someone like AWB. Pale Paris alichomfanya Mbape chenyewe kina Worth 10M

Si jambo la Ajabu toka AWB arudi kwenye Kikosi tumeanza kupata Ushindi mzuri, angalia goli 4 vs Leeds angalia Lindelof Alivyokuwa anapanda angalia AWB alivyokuwa ana cover nafasi yake. Kuona vizuri Tactic anayoweza kuleta AWB angalia highlight goli la 2 vs leeds.

Na Maguire was Class, sababu Msimu huu ana Hit and miss doesnt mean ni mchezaji mbaya, subiria Kocha anaekuja ataamua mwenyewe.
 
Manchester United have four-man shortlist on their hunt for a new manager that does not include Tuchel

Pochetino & Ten Hag are the favourites. Lopeteguie and Luis Enrique are other considered options

Source: Skysports
 
Back
Top Bottom