Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Adjustments.jpg
 
View attachment 2194071

Sent using Jamii Forums mobile app
Moja ya mapungufu makubwa sana ilikuwa scouting department.
 
huo ni mchakato si kwamba ni jambo la kukamilishwa ndani ya dirisha moja.
Watu wengi wanaangalia mambo kiurahisi rahisi sana. Kama bodi iko tayari kula hasara itatuchuka miaka miwili kusafisha timu nzima kinyume na hapo itatuchukua miaka 4.

Wanaomaliza mkataba mwaka huu: Pogba, Lingard, Lee Grant, Cavani, Mata, Chong

Wanaomaliza mwakani, 2023: Fred, Shaw, Rashford, Dalot, Degea, Ronaldo, Jones, Heaton, Matic

Wanaomaliza, 2024: Martial, Bissaka, Lindelof, Bailly, Telles

Wanaomaliza, 2025 : Amad, Van De Beek, Maguire, Varane, McTominay, Henderson, Greenwood

Wanaomaliza, 2026: Bruno, Sancho, Elanga
 
Mkuu kinachotakiwa ni kufungua mnada..yaani sagulasagula wabaki Mwaka 2026. Huyu greenwood ananiudhi Sana anavyokuwa dolo uwanjani. Striker kama kina sadio, wanahangaika, Hawa waingeleza ni mrenda Sana uwanjani.

Rashford ndio sitaki hata kumuona, na naomba niulize Jana kwanini Jones alikuwa anapambana lkn walimtoa??
Watu wengi wanaangalia mambo kiurahisi rahisi sana. Kama bodi iko tayari kula hasara itatuchuka miaka miwili kusafisha timu nzima kinyume na hapo itatuchukua miaka 4.

Wanaomaliza mkataba mwaka huu: Pogba, Lingard, Lee Grant, Cavani, Mata, Chong

Wanaomaliza mwakani, 2023: Fred, Shaw, Rashford, Dalot, Degea, Ronaldo, Jones, Heaton, Matic

Wanaomaliza, 2024: Martial, Bissaka, Lindelof, Bailly, Telles

Wanaomaliza, 2025 : Amad, Van De Beek, Maguire, Varane, McTominay, Henderson, Greenwood

Wanaomaliza, 2026: Bruno, Sancho, Elanga
 
Ukiondoa hao wanaomaliza mwezi wa 6 mikataba yao, kama tunadhamira ya kweli kurudi angalau ndani misimu miwili au mitatu ijayo tunapaswa kupunguza wengine 6 wenye mikataba. Halafu mwakani tunamalizia msumari wa mwisho kusafisha wote.
Ila mkuu kwanza wahakikishe wanawao doa Pogba aende na pesa juu apewe, rashford auzwe haraka Sana, De gea asepe, angalau kama atabadilika sawa, naomba mumkumbuke Sana Moriinho. Martial asikanyage old Trafford.
 
Watu wengi wanaangalia mambo kiurahisi rahisi sana. Kama bodi iko tayari kula hasara itatuchuka miaka miwili kusafisha timu nzima kinyume na hapo itatuchukua miaka 4.

Wanaomaliza mkataba mwaka huu: Pogba, Lingard, Lee Grant, Cavani, Mata, Chong

Wanaomaliza mwakani, 2023: Fred, Shaw, Rashford, Dalot, Degea, Ronaldo, Jones, Heaton, Matic

Wanaomaliza, 2024: Martial, Bissaka, Lindelof, Bailly, Telles

Wanaomaliza, 2025 : Amad, Van De Beek, Maguire, Varane, McTominay, Henderson, Greenwood

Wanaomaliza, 2026: Bruno, Sancho, Elanga
Screenshot_20220420-200034.jpg
 
Back
Top Bottom