Guacamole
JF-Expert Member
- Mar 19, 2019
- 6,144
- 16,257
Hili timu la mandezi.
Yaani ukitaka kuamini hili timu la mandezi hata yafungwe mechi 100 ila yakishinda mechi moja tu yanasahau kuwa ni mabovu na yanatakiwa yafanye marekebisho.
Ndio maana halisi ya Nyumbu.
Wao kusahau ni rahisi mno.