Darmian
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 17,300
- 46,749
::Piga shetani mpaka abwekeeee...
Bweeeeeeee3eeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
::Piga shetani mpaka abwekeeee...
Bweeeeeeee3eeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Wenda wekend patakua na game kali ameamua ki riskBado nimetahamaki
Hivi aliwaza Nini mpaka akawatoa
Van de beek, Fernandez na Ronaldo?
Huwa shabiki wa humu wananishangaza hapo tuHili timu la mandezi.
Yaani ukitaka kuamini hili timu la mandezi hata yafungwe mechi 100 ila yakishinda mechi moja tu yanasahau kuwa ni mabovu na yanatakiwa yafanye marekebisho.
Leo watoto wapite mbali baba hata akikanyagwa kidole atampiga mtoto K O amuue










Cr7 aliwawezaje Mbele??Yule kaoneana kwenye goli Tu basiPale baada ya red pia angeweza kumtoa vdb aingie Greenwood, pia angemtoa bruno/pogba aingie Varane zen tungecheza hata 4-4-1 mana CR7 kule mbele aliwaweza, lahaulaaa kocha akamtoa na CR7 mwenyewe![]()