Kufunga kwake hakuondoi ukweli kwamba yeye ni Left Wing hivyo hana killer instinct golin similar to a natural striker.Ss mbn unakataa sio striker?
Soma iyoo[emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3]Wazee wa ulinzi mpo?
★Bruno Fernandes is the first Manchester United midfielder to score +20 goals in a season since Paul Scholes (2002/03).★
#GGMU[emoji123][emoji41]
manutd | View attachment 1707476
Dogo huwa anakimbia na mpira mpaka anatoka nao nje ya uwanja....★Yeye hata asifunge Goli haituhusu ila awe anatoa Pass kwa watu wengine uchoyo afu anazunguka na mpira mwisho ananyanganywa inakera mpaka natapika hasira [emoji37][emoji51]*
Ushapagawa dogo.Nyie matakataka mnashangilia draw ya Chelsea?? Wewe unaweza kuifunga Soton??
#CFC [emoji170][emoji170][emoji170]
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Sio tu kuifunga kuihaibishaa [emoji2][emoji2][emoji16]Nyie matakataka mnashangilia draw ya Chelsea?? Wewe unaweza kuifunga Soton??
#CFC [emoji170][emoji170][emoji170]
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
"Nje ndani" wenyewe wanasema.Nyie matakataka mnashangilia draw ya Chelsea?? Wewe unaweza kuifunga Soton??
#CFC [emoji170][emoji170][emoji170]
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Sio tu kuifunga kuihaibishaa [emoji2][emoji2][emoji16]View attachment 1707714
UEFA yenu hatimaye imefika
Kakojoe ulaleWe kweli NYUMBU, hiyo soton uliifunga wao wakiwa wangapi uwanjani?
Kakojoe ulale
Lampard bado yuko free. Atafaa sana kama mbadala wa Ole
Cheltako hamn team ya kushinda 9Jibu swali acha tabia za kinyumbu ww
Tulieni nyie kubalini kichapo tu... womenchester united[emoji16]
HAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHA
EVERTON HAHAHAHAHAHAHAHAH
Cheltako hamn team ya kushinda 9