Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,504
- 911,249
Pogba forced sub by injury, De Gea horror, and last minute unforced free kick explains why we lost two points
Atukwane tu maana hamna namnaTuanzebe kayatafuta tena matusi.
defence-wakabaji, lile goli la pili la james sijui nimeliona mara ya ngapi msimu huu tunafungwa same story leicester, shefield etc si tatizo la beki bali kiungo mkabaji anashindwa kunusa hatari zile."washambuliaji wanafnya ushinde mechi ila mabeki ndio wanaokufnya ushinde mataji" - Sir Alex
Bado mnaomba City afungwe kesho au mechi iahirishwe?
defence-wakabaji, lile goli la pili la james sijui nimeliona mara ya ngapi msimu huu tunafungwa same story leicester, shefield etc si tatizo la beki bali kiungo mkabaji anashindwa kunusa hatari zile.
Kila siku anatuuwa lkn kocha bado anampa games tena anamuingiza mda wa pressure wkt anamjua beki mwenyewe tia maji tia maji.Tuanzebe kayatafuta tena matusi.
Hakuna siku hii tm imeni disappoint km leo.Mara chakula cha watoto, Mara kamuaandikia barua prime minister vyakula bure mashuleni, Mambo kibao anafanya
Afocus kwenye football huyo mpumbavu
Wameniharibia siku yangu kisenge
Mnajidanganya sana humu
Unataka kuwa Title contender kwa DEFENCE ipi???
Defence ya Manchester United is not good enough to compete for EPL TITLE.
refa naye mpira ulishaisha, wakati tunapiga foul yetu ilikuwa ni dakika 94,Hapa hamna kocha wazee uongo mbaya unawezaje kumtoa greenwood ambae alikuwa akipora mipira mara nyingi na kumuacha rashford
Halafu tayar kaua saikolojia ya tuanzebe kafanya kosa tena

goli la kwanza na 3 de gea yanamhusu vizuri tu, goli la 3 halina tofauti na goli la RB leipzig beki ana communicate na kipa, na kipa anasita kutoka.Goli la 3 faulo kacheza tuanzebe kiungo anahusikaje?
Nani man of the match